Uganda: Mchungaji akutwa na silaha na sare za jeshi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,961
2,000
Mchungaji Florence Lanyero, wa kanisa la Rest Arena lilipo Gulu, amekamatwa nyumbani kwake Februari 23, kwa kumiliki sare za jeshi na vifaa vingine vya kijeshi

Jimmy Patrick Okema, msemaji wa polisi wa kituo cha Aswa, alisema wamemkuta akiwa na sare za jeshi na vifaa vingine vya kijeshi na hawajui kwa nini mtuhumiwa huyo anamiliki sare hizo

Mchungaji huyo alianza kutafutwa baada ya kujipiga picha na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii

=====
Ms Florence Lanyero, a pastor attached to Rest Arena Church in Gulu town is in trouble after being arrested for illegally possessing a military uniform.

She was arrested at her home in Kasubi Gowans Quarters in Gulu Municipality on a Sunday during a joint operation that involved police and the army.

Mr Jimmy Patrick Okema, the Aswa River Region Police spokesperson said on Monday that that Ms Lanyero was found in possession of military uniform and other military hardware.

Mr Okema, however, did not specify the nature of military hardware that was recovered from the pastor’s home.

According to Mr Okema, the suspect ran in trouble when photos she took while wearing military uniform went viral on social media.

He said that they haven’t established why the suspect owned a military uniform.

Chanzo: Daily Monitor
 

Babu Kingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
418
250
M7 ajichunge, pengine tayari wadhungu wameshaanza kutumia vibaraka wao dhid ya prezidaa. nakumbuka M7 na hayat Mugab waliambiwa "Their days are numbered!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom