Rais Museveni: Ukiwa kiongozi ni kama daktari, una nafasi ya kutibu ugonjwa katika nchi

Multibusiness

Member
Nov 16, 2014
6
1
JANA Nilimsikiliza Mheshimiwa Rais Wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni

Kwa Kiswahili Kizuri Sana Tena Kwa Kukichezea Kwa Madaha
Miongoni Mwa Usemi Mpya Nilioupata Kwako Wakati Akiomboleza Kifo Cha Mheshimiwa Daniel Arap Moi

Aliseama Ukiwa Kiongozi Ni Kama Doctor Akaendelea Kusema Kiongozi Anayo Nafasi Ya Kutibu Ugonjwa Katika Nchi

Alinda Mbele Zaidi Kile Atakachoamua Doctor Juu Ya Mgonjwa Ndivyo Itakavyokuwa

Kumbe Basi Kiongozi Anamaamuzi Makubwa Juu Ya Nchi Yake Kuanzia Kujenga Uchumi Mpaka Amani

Kwa Museveni Aliongea Jambo La Elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimtaja pia Pontio Pilato aliyemuhukumu Yesu.....kwamba milele pilato anakumbukwa kwa uovu wake!
 
Back
Top Bottom