Uganda kumuenzi Iddi amin je historia ilipindishwa?

jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
1,226
Points
2,000
jerrybanks

jerrybanks

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
1,226 2,000
Habari wana jamvi,

Niende kwenye mada hasa nikibase kwenye historia ya idd amin aliyekuwa rais wa uganda.
Historia inamtafsiri iddi amin kama raisi katili kutokea katoka katika nchi ya uganda ambae alitolewa kwa mapinduzi na majeshi ya Tanzania baada ya kuvamia mkoa wa kagera na kudai kuwa ni sehemu ya Uganda,na kukimbilia uhamishoni saudi arabia hadi pale kifo kilipompata mwaka 2003.Vyombo vya kimataifa vilimtangaza idd amin kama raisi katili Africa kiasi cha kutungiwa mpaka filamu zenye kuonyesha ukatili wa kutisha wa amin mpka kufikia hatua ya kula nyama za watu.
Leo hii serikali ya Uganda inafanya maadhimisho ya kumkumbuka raisi Idd amin kama raisi shujaa na mwanamapinduzi ambae na mwanaharakati ambae alipigania wananchi wake katika kupata maendeleo yao.
Shirika la BBC swahili limekutana na watu ambao walikuwa wakifanya kazi na kuishi ndani ya serikali ya Idd amini na kumsifia kuwa alikuwa ni raisi mwenye huruma na wananchi wake isipokuwa kulikuwa na baadhi ya askari wake waliokuwa wanatumia vibaya madaraka waliyopewa na idd amini,hivyo serikali na umoja huo wa watu waliokuwepo kwenye utawala wa idd amin wamezindua maadhimisho/maonyesho yakiambatana na makumbusho ambayo itakuwa inatoa historia halisi ya rais idd amin kama raisi shujaa wa nchi ya Uganda

Je historia ya rais Idd amin wa Uganda na kisa halisi cha vita ya kagera vilipindishwa?
20190829_220716-jpeg.1193044
 
NYAMUHANZI

NYAMUHANZI

Member
Joined
Apr 7, 2017
Messages
94
Points
150
NYAMUHANZI

NYAMUHANZI

Member
Joined Apr 7, 2017
94 150
Kila mtu ana mazuri na mabaya yake, kinachomfanya kiongozi aonekane mzuri ni pale anapofanya mambo yanayowafurahisha wengi japo kuwa huwa kuna wachache wanachukia na pia ataonekana mbaya kwa kuwaudhi wengi japo pia kutakuwa na wachane wanaofuraia.

Kwa mujibu wa andiko lako hao wanaofanya sherehe ni wale waliokuwa wakinufaika na uongozi wake, hii haiondoi dhana ya ukatili aliokuwa nao katika kipindi chake cha uongozi. Lakini pia kwa asili ya binadamu huwezi kuchukiwa na kila mtu. hata Hitla alikuwa na wapendwa wake.
 
Eliamini

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Messages
432
Points
500
Eliamini

Eliamini

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2012
432 500
Si kila historia tunayoisoma ipo hivo ilivyoandikwa nyingine zipo zinaandikwa kwa lengo la kufikia malengo ya watawala wa hii dunia
 
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
2,294
Points
2,000
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
2,294 2,000
Habari wana jamvi,

Niende kwenye mada hasa nikibase kwenye historia ya idd amin aliyekuwa rais wa uganda.
Historia inamtafsiri iddi amin kama raisi katili kutokea katoka katika nchi ya uganda ambae alitolewa kwa mapinduzi na majeshi ya Tanzania baada ya kuvamia mkoa wa kagera na kudai kuwa ni sehemu ya Uganda,na kukimbilia uhamishoni saudi arabia hadi pale kifo kilipompata mwaka 2003.Vyombo vya kimataifa vilimtangaza idd amin kama raisi katili Africa kiasi cha kutungiwa mpaka filamu zenye kuonyesha ukatili wa kutisha wa amin mpka kufikia hatua ya kula nyama za watu.
Leo hii serikali ya Uganda inafanya maadhimisho ya kumkumbuka raisi Idd amin kama raisi shujaa na mwanamapinduzi ambae na mwanaharakati ambae alipigania wananchi wake katika kupata maendeleo yao.
Shirika la BBC swahili limekutana na watu ambao walikuwa wakifanya kazi na kuishi ndani ya serikali ya Idd amini na kumsifia kuwa alikuwa ni raisi mwenye huruma na wananchi wake isipokuwa kulikuwa na baadhi ya askari wake waliokuwa wanatumia vibaya madaraka waliyopewa na idd amini,hivyo serikali na umoja huo wa watu waliokuwepo kwenye utawala wa idd amin wamezindua maadhimisho/maonyesho yakiambatana na makumbusho ambayo itakuwa inatoa historia halisi ya rais idd amin kama raisi shujaa wa nchi ya Uganda

Je historia ya rais Idd amin wa Uganda na kisa halisi cha vita ya kagera vilipindishwa?View attachment 1193044
wazungu bwana wameona bora kuja kwa jirani ilimradi tu .... wazungu ni kama waswahili fulani ambao hata mtu hakikulenga hata zunguka sana
 
Mhadzabe

Mhadzabe

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,622
Points
2,000
Mhadzabe

Mhadzabe

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,622 2,000
Aliopo sasa hivi ana viashiria vya Amini anachofanya sasa ni ku neutralize historia mbaya ya Amini ili kuwapa uhalali wa afanyayo au atarajiayo kufanya!

Usishangae kikosi kimojawapo cha chombo cha usalama nchini humo kupewa jina la Idd Amin Dada!
 
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
805
Points
1,000
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
805 1,000
Waambie wajeruman eti hitler ni mbaya wanaweza kukuua
 
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
3,023
Points
2,000
mulwanaka

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
3,023 2,000
Aliopo sasa hivi ana viashiria vya Amini anachofanya sasa ni ku neutralize historia mbaya ya Amini ili kuwapa uhalali wa afanyayo au atarajiayo kufanya!

Usishangae kikosi kimojawapo cha chombo cha usalama nchini humo kupewa jina la Idd Amin Dada!
M7 ameshaishiwa mbinu za kisiasa...sasa baada ya kugundua kwamba Amini nimaarufu sanaa ndani ya Uganda hususani jamii ya Arua na mpizani wake Bobwine amaahidi kurudisha mabaki yake kutoka Saudi arabia ili azikwe upya na awekewe kumbumbu kama raisi bora Uganda m7 ameanza kuhaha eti nayeye anampenda sana wakati alizuia hata maiti yake isilejeshwe nchini uganda. Mda wa huyu Dictetor umeisha Waganda wanahitaji wamabadiliko.....
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
5,879
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
5,879 2,000
Wenyewe wanamkubali kuwa fukuza Waindi
 
Forum statistics

Threads 1,334,884
Members 512,157
Posts 32,489,874
Top