UGANDA: Serikali yafuta mitihani ya Mwisho wa Mhula

vicentmark

Member
Nov 15, 2014
8
6
KAMPALA:

Taasisi ya Kuandaa Masomo na mfumo wa Elimu nchini Uganda imetangaza rasmi kubadilisha mfumo wa Elimu National Curriculum Development Centre (NCDC) nchini humo kwanzia Februari mosi.

Akiwasilisha mabadiliko haya Mkurugenzi wa NCDC Bwana James Aisle Droti, ametangaza maridhiano ya kufuta mitihani ya Mwisho wa Mhula na kuurithisha na Project Work aidha Waziri wa elimu na Mke wake rais wa Uganda Bi Janet Kataha Museveni ametangaza kubadilishwa kwa jina la Mitihani wa kidato cha nne kutoka Uganda Certificate of Education (UCE) kuwa Uganda Certificate for Lower Secondary Education.

Chanzo Government abolishes end of term exams in schools
 

Attachments

  • home06pix.jpg
    home06pix.jpg
    28.4 KB · Views: 2
Waziri wa elimu wa Uganda ni Janet Museveni.

Yaani mke wa rais ndie waziri wa elimu(Utter non-sense).

dodge
 
Back
Top Bottom