Mdogo wa Jose Chameleone afanyiwa unyama Afrika Kusini

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,231
Kama kichwa Cha habari kinavyo sema,

Mdogo wake na Jose chamilion ambae anafahamika kwa jina la Pallaso alimanusura auawe huko SA aliko kuwa akifanya video yake ya wimbo uitwao BAKOMELERWE(Wasurubiwe)

Taarifa zinasema kwamba kijana huyu yuko mahututi huko SA,

Kisa Cha kushambuliwa na watu ni baada ya kusikika akiongea lugha ambayo sio ya SA hivyo wakajua ni mtu wa nje ambae ameleta madawa ya kulevya nchini mwao.

Video yake hi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mganda anashuti video South Afrika, anatangaza uzuri wa South Afrika au udanganye kwamba hayo ni maisha yako ya Uganda ???? acha wafukuzwe

TV zetu ziko dominated na ma content ya South Afrika mpaka matangazo ya biashara kwenye ving'amuzi vinatutangazia bima za magari za South Afrika... kwa sababu ya Waafrika wanaowatukuza wa South... KICK THEIR ASSES OUT OF YOUR COUNTRY!
 
You write nonsense, you know nothing about that industry.

Portfolio | 2020
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom