Uganda: Mfahamu Mama aliyezaa watoto 44 akiwa na mume mmoja, aandika majina yao kwenye kitabu ili wasiwasahau

KITAULO

KITAULO

JF-Expert Member
1,473
2,000
Huko nchini Uganda kuna mama mmoja ambaye amezaa watoto 44 akiwa na mume mmoja ambapo mwanaume huyo baadaye alikiimbia familia hiyo na kumuacha mama huyo akiendelea kuitunza familia.

Mama huyo akiwa na umri wa miaka 38 mwaka 2018, alikuwa ana watoto 44 kati ya hao watoto 39 walikuwa hai. Wasichana walikuwa kumi na tano na wavulana ni ishirini na tatu.

Mtoto wake wa kwanza alimpata mwaka 1994 na mpaka kufikia mwaka 2018 tayari alikuwa ana watoto 44 . Alijaribu kutumia uzazi wa mpango lakini dawa hizo zilikuwa zinamkataa na ndipo alipoamua kuzaa.

Kwa sasa Mama Mariam Nabatanzi watoto hao wanawalea peke yake kwani baba watoto wake alimkimbia.

Hata hivyo alidai kuna wanaume wengi walikuwa wanatoka awazalie watoto lakini yeye hakutaka kufanya jambo hilo.

Source: Citizen TV
 
dubwang

dubwang

JF-Expert Member
260
500
Bdo nipo njia panda kwan alikua anazaa mapacha? manake toka 94 hadi sasa ni miaka 26
 
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
2,728
2,000
Duuh Huyo ni Nguruwe aliyechangamka!!
 
Manton

Manton

JF-Expert Member
777
1,000
Zaeni muijaze dunia. Uzazi hauna mwisho!
 
Drone Camera

Drone Camera

JF-Expert Member
10,653
2,000
Kuandika majina kwenye daftari!!! Mm classmates wangu nawakumbuka bado... Ila hii ni mashine aisee
 
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
732
225
wengi ni mapacha ndo maana inaonekana kwa miaka 25 tu tayari watoto 44
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
5,726
2,000
iyo k sijui ipo katika hali gani salalee
 

Forum statistics


Threads
1,424,900

Messages
35,075,540

Members
538,137
Top Bottom