Kama muswada huo utapitishwa kuwa sheria basi itakuwa ni kosa kutoa msaada wa fedha, chakula na msaada mwingine kwa Watoto wanaoomba kando ya barabara za nchi hiyo
Kwa mujibu wa mapendekezo ya...
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Bw. Fred Enanga amesema, maiti mbili zimepatikana na watu kati ya 13 hadi 16 hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka katika Ziwa...
Kuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona...
Mwili wa Mtalii mmoja kutoka Saudia alikufa maji baada ya kutumbukia kwenye mto Nile nchini Uganda siku ya Jumamosi , sasa umepatikana.
Kwa mujibu wa polisi nchini humo, Alsubaie Mathkar alikuwa...
Ni wimbo pamoja na video ambapo msanii Bobi Wine ameutunga na kuutengeza akiwa kizuizini nyumbani kwake yaani hatakiwi kutoka. Wanajeshi wakiwa nje yeye ndani yuko busy kuujulisha ulimwengu namna...
Tume ya mawasiliano ya nchini Uganda imeagiza kufungwa kwa vituo 13 vya radio na Televisheni pamoja na kufutwa kazi baadhi ya wanahabari kwa ''kupotoshaji' na kuchochea ghasia kwa kutangaza...
Ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Mjerumani, Bernhard Bery Glaser, kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda kwa tuhuma za kuwatumia kingono zaidi ya...
Mamlaka nchini Uganda imesema watu 18 wamethibitishwa kufariki na wengine 100 kujeruhiwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko wakati wa usiku kwenye wilaya mbili mashariki mwa...
Viongozi mbalimbali duniani wamemuonya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni juu ya unyanyasaji wa serikali yake kwa mpinzani kijana anaependwa na Waganda na mbunge wa jimbo la kyadondo...
JESHI la Polisi limemweka katika kizuizi cha nyumbani mwanamuziki na Mbunge wa Kyadondo Mashariki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine.
Jeshi lilichukua hatua hiyo saa kadhaa baada ya...
Leo nimeona jinsi Bob Wine allivyokamtwa nimemkumbuka sana huyu Besigye ambaye alionekana kuwa machachari kwenye siasa za Uganda. Kama kweli ana nia thabiti ya kumng’oa M7 basi aungane na huyu...
Ugandan police detained pop star-turned-MP Bobi Wine on Monday after shutting down one of his concerts and firing tear gas at his fans, the singer's wife and supporters said.
"He has been...
SUNDAY APRIL 21 2019
Illegal. Police officers and crime preventers from Kamengo Police Station clear marijuana plantations at Kampiringisa Central Forest Reserve in Mpigi District in 2017. PHOTO...
Mahakama kuu nchini Uganda imeidhinisha mabadiliko ya katiba yaliyoondoa kizingiti cha umri kwa wagombea wa urais nchini humo.
Katika kikao kilichochukua takribani saa 10, majaji wameamua kwamba...
OTAFIIRE MESSAGE TO BOBI WINE LEAVES THE NATION IN SHOCK
Minister of constitution affair Major General Tahinda Otafiire has stated that army will not allow Kyadondo East member of parliament...
Serikali nchini Uganda kupitia Wizara ya Utalii nchini humo imetangaza rasmi kuwa itawatumia wanawake wenye maumbo mazuri katika kuvutia watalii nchini humo.
Hayo yametangazwa Juzi Februari 5...
Serikali ya Uganda imesema marubani watakao ajiriwa ktk shirika la ndege la Uganda watakuwa wakiweka kibindoni mshahara wa kiasi mil 42 Ush na wasaidizi wao (first officer) watakuwa wakilipwa 38...
Wakaazi wa kijiji cha Nakapyata, wilayani Buyende nchini Uganda wamefanya sherehe ambapo watoto wawili walio kati ya umri wa miaka tisa na sita waliozwa katika utamaduni wa kushangaza.
Kulingana...