A meeting between Uganda and Rwanda that should have taken place on October 17 as a follow up to the September 16 one in Kigali to ease tension between the neighbouring countries is scheduled to...
Huzuni na mshtuko umetawala kwa wakazi wa Kijiji cha Kawanda B, Halmashauri ya Mji wa Lwamata wilayani Kiboga baada ya kupatikana kwa miili mitatu ya wasichana waliotekwa nyara siku tatu...
Uganda, Tanzania meet to finalise pipeline deal
SATURDAY JANUARY 19 2019
Oil pipeline. Uganda and Tanzania signed an agreement in May 2017 to jointly develop the $3.5 billion pipeline that...
Mwanamke mmoja katika wilaya ya Hoima mashariki mwa Uganda anashikiliwa kwa madai ya kumuua mpenzi wake baada ya kumfuma akimeza dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV)
Polisi...
Polisi wa Mji wa Bugiri wanawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumvamia mfanyabiashara kwa lengo la kumuibia pesa.
Watu hao inadaiwa walimfuatilia mfanyabiashara huyo kutoka Benki ya Centenary...
“They were conned out of billions of shillings in just twelve months.”
Hundreds of Ugandans woke up last week to a sad reality – they had been trapped in an exploitative scam by four Ugandans and...
Security officials inspect the vehicle in which the suspected armed robbers were travelling. NTV photo.
Security operatives Tuesday shot dead four men who were reportedly on a robbery mission...
Shirika la Uokoaji la Msalaba Mwekundu Nchini humo linaloendelea na uokoaji katika Wilaya ya Bundibugyo limesema kuwa watu wengi bado hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa zinazonyesha...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni Jumatano aliongoza matembezi ya kupambana na ufisadi katika mji mkuu wa nchi ya Afrika Mashariki.
Museveni alianzisha matembezi hayo ya kilomita nne yaliyofanyika...
Polisi wa huko Jinja wanachunguza tukio la walinzi wa usalama kumpiga risasi mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Kampala, tawi la Jinja.
Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kwa jina la Isaac...
Zaidi ya watu 30 wa Wilaya ya Bududa iliyopo Uganda Mashariki wamehofiwa kufariki kutokana na kufukiwa na matope yaliyosababishwa na mafuriko yaliyotokea katika eneo hilo kufuatia mvua kali ya saa...
Watu sita wamefariki na watu wengine zaidi ya 30 wanahofiwa kufa baada ya makazi yao kusombwa na maporomoko ya matope katika wilaya ya Bududa, Mashariki mwa Uganda.
Karibu kila mwaka, watu wengi...
Mwalimu wa somo la kiswahili wa shule ya Catherine Junior anashikiliwa na polisi kwa kumnajisi mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa siku ya tarehe 25, Septemba wakati mwanafunzi huyo akiwa...
Watuhumiwa tisa wa mauaji ya mwanajeshi wa UPDP Jinja wakamatwa. Miongoni mwa watuhumiwa hao ni pamoja na wanajeshi sita wa UPDP pamoja na wananchi watatu.
===
Nine people who are suspected of...
Padri wa katoliki katika dayosisi ya Kiyinda Mityana, Lawrence Muduse na wengine ambao ni John Kulumba Mkubwa, John Kulumba Mdogo, Jane Nankabirwa Kulumba, Ibrahim Muyingo, Robert Ssenyange na...
Ukosefu wa maji umeikumba Manispaa ya Mbale kwa zaidi ya siku tatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa na kupelekea miundo mbinu ya Idara ya maji ya Uganda (NWSC) kuharibika...
Polisi Wilayani Ibanda wavikuta vichwa viwili vya binadamu (Mwanaume na Mwanamke) vikiwa vimetupwa shambani maeneo ya Kyegwisa ambapo ni kilomita tatu kutoka Ibanda mjini.
Katika uchunguzi wa...
Kwa mujibu wa jarida la ‘Times’ la Marekani Bobi Wine ni miongoni mwa watu maarufu wanao kuja kwa kasi katika kuleta mabadiliko katika mambo mbali mbali ikiwepo burudani, siasa na uchumi.
Kupitia...
Maafisa wawili kutoka Wizara ya Maji nchini Uganda wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama kwenye Mto Aswa katika wilaya ya Pader.
Maafisa hao walikuwa wametembelea kituo...
President Museveni Friday launched Uganda's first ICT manufacturing and assembling plant in Namanve.
This comes into force after government signed an agreement with SIMI technologies to promote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.