Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Uganda imeamua kutumia wanajeshi kuzuia muingiliano na Watanzania mpakani, maana watu wanaotokea Tanzania kila wakipimwa wanakutwa na kirusi, kwa sasa hamna cha undugu tena mpakani. Kule Tanzania...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Vyama viwili vya upinzani nchini Uganda vinazozana juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu, kila chama kikidai kuwa ndicho kina haki ya kuitumia rangi hiyo kama utambulisho wake. Chama kikongwe cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndnguze waliomtuhumu kuiba kuku na redio Mtu huyo alimkataka mjomba wake, Jackson Olong na alimshambulia mke wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kumbuka huyu rais wao anasema ako na miaka 76, isipokua wataalamu na wanahabari wa kwao wanasema ashapitisha miaka thamanini, karibu anaingia mia.
2 Reactions
7 Replies
43K Views
Binti wa miaka 16 nchini Uganda amekatwa mkono baada ya kukataa kuolewa,tukio hilo linadaiwa kutekelezwa na mwanaume ambaye amemkataa. Polisi nchini humo wanaendelea kuchunguza tukio hilo la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Ugnda Yower Museveni amethibitisha kugomea tena kwa muhongo wa nne tangu aanze kuwa Rais wa Uganda. Kiongozi huyo aliyeanza kuwa Rais wa Uganda mwaka 1986 na kuwa Rais wa Nchi hiyo kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
President Yoweri Museveni has joined world leaders in mourning Tanzania’s third President Benjamin Mkapa who passed away this week. Museveni hailed Mkapa for his role in bringing unity in Uganda...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameruhusu waendesha boda boda na texi kuwabeba abiria kwa masharti kwamba lazima wavae barakoa kuzingatia muongozi wa kuzua maambukizi ya corona. Rais pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Despite Tanzanian authorities denying and hiding corona virus cases, their Uganda neighbors are busy exposing them by identifying new cases of the disease on drivers from Tanzania. This is now put...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Ama kweli mchele ni mmoja mengine ni mambo ya mapishi tu. Kama ilivyokuwa kwetu, mganda naye anaelekea tuliko fika: yaani a Corona free country: COVID-19: Victory in Uganda as the Country...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 11 baada ya kupima sampuli 2,575 na jumla ya walioambukizwa Virusi hivyo nchini humo imefikia 2,040 Aidha, nchi hiyo pia imewarudisha madereva wa malori 27...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Afya nchini humo imesema kuna ongezeko la Wagonjwa 23 baada ya sampuli 2,219 kupimwa jana na kufanya jumla ya Wagonjwa kufikia 797. Wagonjwa wapya wote ni Waganda Katika ya Wagonjwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Credit: Vision Reporter The gold, according to sources, belongs to a Tanzania-based gold dealer. SMUGGLING The Police Mineral Protection Unit is reported to have intercepted 93kg of gold worth...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao Kesi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nchi ya Uganda imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.3 kutokana na uwepo wa kampuni ya kuchakua dhahabu dhahabu ya “Africa Gold Refinery”. Kiasi hicho kinaifanya Uganda kuwa miongoni mwa nchi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote. Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Benki ya Dunia (WB) imepitisha bajeti ya Dola za Marekani Milioni 300 ili kusaidia Uganda kukabiliana na janga la #CoronaVirus. Taatifa ya WB imesema fedha hizo zitatumika kuongeza uwezo wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 19 vya CoronaVirus baada ya kupima sampuli 2,170 na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 889. Katika visa vilivyotangazwa leo, 11 walisafiri kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo. Rais Museveni wa Uganda...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…