Chama cha The Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda kimejipata katika njia panda baada ya muasisi wa chama hicho na mgombea mara nne wa urais , Kizza Besigye, kukataa ombi la kupeperusha...
Uganda imeamua kutumia wanajeshi kuzuia muingiliano na Watanzania mpakani, maana watu wanaotokea Tanzania kila wakipimwa wanakutwa na kirusi, kwa sasa hamna cha undugu tena mpakani. Kule Tanzania...
Vyama viwili vya upinzani nchini Uganda vinazozana juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu, kila chama kikidai kuwa ndicho kina haki ya kuitumia rangi hiyo kama utambulisho wake.
Chama kikongwe cha...
Mwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndnguze waliomtuhumu kuiba kuku na redio
Mtu huyo alimkataka mjomba wake, Jackson Olong na alimshambulia mke wa...
Binti wa miaka 16 nchini Uganda amekatwa mkono baada ya kukataa kuolewa,tukio hilo linadaiwa kutekelezwa na mwanaume ambaye amemkataa.
Polisi nchini humo wanaendelea kuchunguza tukio hilo la...
Rais wa Ugnda Yower Museveni amethibitisha kugomea tena kwa muhongo wa nne tangu aanze kuwa Rais wa Uganda.
Kiongozi huyo aliyeanza kuwa Rais wa Uganda mwaka 1986 na kuwa Rais wa Nchi hiyo kwa...
President Yoweri Museveni has joined world leaders in mourning Tanzania’s third President Benjamin Mkapa who passed away this week.
Museveni hailed Mkapa for his role in bringing unity in Uganda...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameruhusu waendesha boda boda na texi kuwabeba abiria kwa masharti kwamba lazima wavae barakoa kuzingatia muongozi wa kuzua maambukizi ya corona.
Rais pia...
Despite Tanzanian authorities denying and hiding corona virus cases, their Uganda neighbors are busy exposing them by identifying new cases of the disease on drivers from Tanzania. This is now put...
Ama kweli mchele ni mmoja mengine ni mambo ya mapishi tu.
Kama ilivyokuwa kwetu, mganda naye anaelekea tuliko fika: yaani a Corona free country:
COVID-19: Victory in Uganda as the Country...
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 11 baada ya kupima sampuli 2,575 na jumla ya walioambukizwa Virusi hivyo nchini humo imefikia 2,040
Aidha, nchi hiyo pia imewarudisha madereva wa malori 27...
Wizara ya Afya nchini humo imesema kuna ongezeko la Wagonjwa 23 baada ya sampuli 2,219 kupimwa jana na kufanya jumla ya Wagonjwa kufikia 797. Wagonjwa wapya wote ni Waganda
Katika ya Wagonjwa...
Credit: Vision Reporter
The gold, according to sources, belongs to a Tanzania-based gold dealer.
SMUGGLING
The Police Mineral Protection Unit is reported to have intercepted 93kg of gold worth...
Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao
Kesi...
Nchi ya Uganda imeingiza kiasi cha dola bilioni 1.3 kutokana na uwepo wa kampuni ya kuchakua dhahabu dhahabu ya “Africa Gold Refinery”. Kiasi hicho kinaifanya Uganda kuwa miongoni mwa nchi za...
Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote.
Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na...
Benki ya Dunia (WB) imepitisha bajeti ya Dola za Marekani Milioni 300 ili kusaidia Uganda kukabiliana na janga la #CoronaVirus.
Taatifa ya WB imesema fedha hizo zitatumika kuongeza uwezo wa...
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 19 vya CoronaVirus baada ya kupima sampuli 2,170 na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 889.
Katika visa vilivyotangazwa leo, 11 walisafiri kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.