Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Robert Kyagulanyi anayefahamika zaidi kama Bobi Wine amekamatwa leo asubuhi katika Wilaya ya Luuka ambapo alipanga kufanya mkutano ili azungumze na wafuasi wake Polisi wanamtuhumu Mgombea huyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Gazeti la Daily Monitor la Uganda linaripoti kuwa daftari la kitaifa la wapiga kura limepelekwa Uholanzi kwa ajili ya kuhakikiwa. Tume ya uchaguzi imeipa zabuni kampuni ya Uholanzi kuondoa majina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imepiga marufuku mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu mwaka ujao 2021. Marufuku hiyo imetolewa siku moja baada ya rais Yoweri Museveni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waangalizi wa Uchaguzi wa ndani wameitaka Tume ya Uchaguzi Nchini humo (EC) kupinga shinikizo lolote la kuchapa karatasi za kura za Uchaguzi ujao wa 2021 ndani ya nchi kwa kuhofia kuharibu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zaidi ya wafuasi 130 wa chama cha NUP kinachongozwa na mwanasiasa wa Uganda Robert Kyagulanyi watafikishwa katika Mahakama ya Jeshi kujibu mashtaka ya kupatikana na vitu vinavyodaiwa kuwa sare za...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
BREAKING! Bobi Wine violently arrested after nomination Bobi Wine being driven to unknown location (PHOTO/Courtesy). KAMPALA — National Unity Platform President and flag bearer Robert...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Uganda’s electoral body cleared President Yoweri Museveni to seek re-election, paving the way for one of Africa’s longest-serving leaders to extend his more than three-decade rule. Museveni, 76...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mamlaka nchini UgaDna imepiga marufuku miungano ya zaidi mashirIka 60 iliyobuniwa kuchunguza uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 kwa misingi kwamba sio halali. Ofisi ya Kitaifa ya Uganda ya Mashirika...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Business between South Sudan and other east African countries downstream is expected to become much easier when Uganda completes construction of a modern logistics hub just closer to the border...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Am not aiming to intimidate or do have hidden intension behind this post. However, I felt the need to question why Ugandans page is so damn boring. Please, if you don't mind, be active. Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maafisa polisi katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda, leo wamewakamata wasafiri 23 waliowasili katika uwanja huo wakiwa na vyeti bandia vinavyoonesha kwamba hawana maambukizi ya virusi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanasiasa na mwanamuziki wa Uganda, Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ameiambia BBC kuwa nyaraka zinazohitajika kwa ajili ya uteuzi wake wa kugombea urais zimepotea katika ofisi yake baada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Churchill Owaci(22) ameuawa na wachezaji wenzake kwa kufanya makosa yaliyopelekea kufungwa goli kati mechi ya kirafiki baina ya timu mbili za mtaani Mwenyekiti wa Kaunti ndogo ya Agoro, Denis...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
A major hack that compromised Uganda’s mobile money network has plunged the country’s telecoms and banking sectors into crisis. The Oct. 3 hack was a result of a security breach on a consumer...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Uganda, anayejulikana hadharani kama Yoweri Kaguta Museveni, amebadilisha rasmi majina yake, kujumuisha jina lake la utoto,Tibuhaburwa. Jina la Tibuhaburwa katika kabila lake la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wizara ya Afya ya Uganda imefanyia marekebisho muongozo wake wa kukabiliana na corona ambayo itawafanya wagonjwa wa Covid-19 wasioonesha dalili ya maambukizi kutolewa hospitali bila kufanyiwa tena...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MY TAKE: 2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato. Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as...
15 Reactions
51 Replies
8K Views
Moto mkubwa umezuka katika jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Makerere Jijini Kampala nchini Uganda usiku wa kuamkia leo Jengo hilo ni moja ya vivutio Jijini Kampala hivyo taarifa za kutokea kwa...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom