Benki ya Dunia yapitisha bajeti ya Dola Milioni 300 kusaidia Uganda kukabiliana na Corona

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
1,942
2,000
Benki ya Dunia (WB) imepitisha bajeti ya Dola za Marekani Milioni 300 ili kusaidia Uganda kukabiliana na janga la #CoronaVirus.

Taatifa ya WB imesema fedha hizo zitatumika kuongeza uwezo wa Serikali kudhibiti, kuthibitisha na kutibu Virusi hivyo. Pia, zitatumika kulinda wananchi masikini na wasiojiweza na vilevile kuimarisha uchumi.

Meneja wa Benki hiyo nchini Uganda, Tony Thompson amesema mlipuko wa #COVID19 umekuwa na athari kubwa kwenye uchumi na maisha kwa ujumla na bajeti hiyo itasaidia Serikali kutoa huduma muhimu na kuchochea uchumi kuimarika haraka zaidi.

Takriban Waganda Milioni 8.7 ni masikini na wanaishi chini ya Dola 2 (Tsh. 4,635.70) kwa siku.

===

The World Bank has approved $300 million budget to aid Uganda in fighting the coronavirus Covid-19.

The money will be used “to boost the government’s capacity to prevent, detect and treat coronavirus, protect the poor and vulnerable population and support economic recovery,” the Bank announced Tuesday.

It said Uganda’s efforts to contain the spread of the novel coronavirus had battered the country’s economy and was likely to send an extra 3.15 million citizens into poverty. Already, about 8.7 million Ugandans are living below the poverty line of less than two dollars a day.

“The Covid-19 pandemic has had a significant impact on the economy and livelihoods. This budget support operation will enable the Government to provide vital services, social safety nets and a more robust shock-responsive system for the long term; and the economy to recover faster,” said Tony Thompson, World Bank Country Manager for Uganda.

The Covid-19 pandemic, flooding and the locust invasion have hurt the economy, dimming Uganda’s projected overall economic growth to a low 3-4 percent in the financial year 2019/2020 from an earlier projected 6.3 per cent.

To secure the financing, the Bank says, Uganda has committed to undertake policy that directly supports low income households.

Presenting the country’s annual budget for 2019/2020 recently, Finance Minister Matiya Kasaija said the country will inject money directly to support cash for work labour intensive programmes to benefit some half a million people.

He said Uganda would also expand support to the vulnerable senior citizens grant for empowerment (SAGE) programme to cover an extra 71 districts.

Source: World Bank gives Uganda $300m to fight Covid-19
 
nguvusimba

Senior Member
Feb 17, 2020
112
250

HONGERENI sana majirani zetu waganda, ALL THE BEST
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom