Uganda: Binti akatwa mkono kwa madai ya kumkataa aliyemposa

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
469
1,000
Binti wa miaka 16 nchini Uganda amekatwa mkono baada ya kukataa kuolewa,tukio hilo linadaiwa kutekelezwa na mwanaume ambaye amemkataa.

Polisi nchini humo wanaendelea kuchunguza tukio hilo la binti huyo wa kidato cha pili ambaye pia amejeruhiwa katika maeneo mengine ya mwili.

Kutokana na maelezo ya Binti huyo amesema mwanaume huyo alitaka kumuoa lakini alikataa kwa sababu anapenda masomo yake hivyo jibu alilolitoa halikumfurahisha.

1595852202394.png
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,041
2,000
Huyo akikamatwa sio kupelekwa jela HAPANA akatwe viongo kadhaa taratiiiiiiiiiiiiiiibuuuuuu
 

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
4,033
2,000
Huyo jamaa akikamatwa apigwe adhabu kali sana. Lakini na huyu binti nae kwanini alimkubali kama anajijua anasoma?

Ukute hapo kala hela hela za jamaa wee then ndio anakuja kusema anasoma hataki kuolewa.

Na huyu jamaa bwege kweli unaanzaje kurubuniwa na mwanafunzi namna hiyo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom