Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa shule na taaissi zingine za elimu ya juu, zitafunguliwa tena kuanzia mwezi ujao. Hatyua hiyo inakuja wakati Uganda kufikia sasa imerekodi visa 5,380...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Polisi nchini Uganda wametibitisha kuwa kichwa cha mtoto kilichokatwa, kilichopatikana katika kikapu cha mwanaume aliyekamatwa kwenye lango la Bunge nchini Uganda Jumatatu, kilikuwa ni sehemu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UGANDA: MWANAMUZIKI MBARONI KWA KUKIUKA TARATIBU ZA KUPAMBANA NA #CORONAVIRUS - Polisi katika Wilaya ya Kyotera wanamshikilia Mwanamuziki wa miondoko ya Dancehall, Richard Kasendwa au maarufu kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KAMPALA- Polisi bado wanaendelea kutafuta watu ambao wanaaminika kufunikwa na kifusi kwenye jengo lililo anguka maeneo ya Makindye jijini Kampala Ijumaa ya Septemba 11 ,2020 majira ya saa mbili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Uganda (UCAA), inatarajia kufungua uwanja wa kimataifa wa Entebbe na kuruhusu safari za ndani na nje, Kuanzia Oktoba 1, mwaka huu, baada ya miezi mitano ya kuzuia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Takriban miezi 5 baada ya kuzuia safari za ndege za abiria ili kudhibiti maambukizi ya CoronaVirus, Uganda itafungua Uwanja wa Kimataifa wa Entebbe na kuruhusu safari za ndani na nje Hatua hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mawasiliano (UCC) imeagiza wanaotoa au wenye nia ya kutoa maudhui kupitia televisheni, redio za mtandaoni, blogu na majukwaa mengine mtandaoni kuwa kibali na Serikali - Wahusika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A total of 35 candidates went through unopposed in the National Resistance Movement (NRM) primary elections in which the party chose flag bearers for Woman Member of Parliament representing...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao...
15 Reactions
71 Replies
10K Views
Uamuzi wa serikali ya Uganda kuza watu ada ya kufanyiwa kwa hiari vipimo vya Covid-19 huenda vikaathiri usafiri kurejelewa kwa shughuli za utalii na biashar kwa Hatua hiyo pia huenda ikawaathiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bobi Wine anasema madai hayo ni jaribio lingine la kuhujumu upinzani Mahakama nchini Uganda imemtaka mwanasiasa wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, kufika mbele yake kujibu tuhuma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwana mziki na mwana siasa nchini Uganda kijana Robert Kyagulanyi maarufu kama Bob Wine amesema kuwa ni lazima sasa Rais Museveni athibitishe uraia wake. Ameyasema hayo leo hii kwenye makao makuu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
President Yoweri Museveni has issued an advisory for Ugandans to stop traveling to neighboring Rwanda, in yet another twist in the ongoing diplomatic negotiations between the two countries...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Safinah Namukwaya hakutegemea kuwa angekaa miaka 47 bila kupata mtoto baada ya kuolewa. Wakati Safinah Namukwaya alipoolewa na Badru Walusimbi, mkaazi wa kijiji cha Nunda huko Lwabenge katika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Miezi kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu wa Uganda utakaofanyika mwaka 2021, kijana mwenye umri wa miaka 19 amejitokeza na kuchukua fomu ya kugombea ofisi hiyo ya juu nchini humo. Hillary Kaweesa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Marekani imewafutia viza waganda wanne kwa tuhuma za rushwa zilizoathiri watoto katika mradi wa kuasili watoto Msemaji Mkuu wa Marekani, Mike Pompeo amesema majaji wawili, Moses Mukiibi na Wilson...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watoto 10 wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika Mji wa Arua. Eneo hilo limekuwa na mvua kubwa ambazo zimeambatana na radi Imeelezwa watoto hao walikuwa wakicheza mpira na waliamua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Joto la uchaguzi nchini Uganda limezidi kupanda baada ya vyama vya upinzani nchini humo kujiunga ili kutengeneza nguvu ya pamoja. Bob Wine ameibukia kuwa tishio kwa rais M7 bila uoga na vitisho...
16 Reactions
68 Replies
7K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye amewaambia wafuasi wake kwamba hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2021. Alikuwa akizungumza katika ofisi za chama cha Forum for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom