Kwa nini Waganda siyo wengi JamiiForums au hawafahamu kuwa kuna JF inayozungumzia maswala ya Afrika Mashariki, tatizo nini maana hapa EA news hata Kingereza kinatumika?
Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi.
Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi...
Shule ya msingi Sekaza Memorial iliyopo kata ya Kiringente, Wilaya ya Mpigi nchini Uganda imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia taarifa kuwa kuna mapepo yanawashambulia wanafunzi.
Uongozi wa...
Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi
Hata hivyo, Waziri wa...
Mahakama imetupilia mbali ombi la Fortunate Kyarikunda aliyetaka kubatilisha uamuzi wa faini ya Tsh. Ush10.4 Milioni (takriban Tsh. 6.2 Milioni) kwa kuvunja uchumba na kwa Richard Tumwine.
Mwezi...
Polisi Jijini Kampala wanamshikilia Kijana wa Miaka 18, aliyetumia akaunti feki ya Facebook kwa jina Dkt Ronnie akidai kumiliki Kituo cha Afya kisichokuwepo kiitwacho Medical Scrub Uganda...
Askofu Mkuu wa Anglikana, Stephen Kaziimba Mugalu amenukuliwa na Tovuti ya Serikali ya #NewVision akisema kuwa bado ana zawadi zinazojumuisha 'kiasi kikubwa cha fedha' zilizokusudiwa kwa Wanawake...
Mwenzako akinyolewa, za kwako tia maji.
Imedhihirika kumbe tunaopata shule siyo kina sisi peke yao, bali na serikali husika hasa zile zenyewe sugu kwenye kukiuka haki za watu.
Hapa, Uganda...
WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza kwamba Russia haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya bidhaa muhimu kote duniani, na kwamba taarifa hizo zinaenezwa na nchi za...
Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa...
Muswada huo unawagusa wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja au kubadili jinsia, utaanza kufanyakazi baada ya kusainiwa na Rais Yoweri Museveni.
Muswada huo unabainisha kuwa marafiki...
President Yoweri Museveni of Uganda has refused to sign into law a controversial new bill against homosexuality that prescribes the death penalty in some cases, requesting that it should be...
Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo.
Taarifa...
Wananchi nchini Uganda sasa wameamua kuwasaka mashoga popote wanapopatikana na kuwashushia kichapo kikali mno, tabia za kishoga na mashoga zamani tulizisikia Mombasa, Zanzibar kutokana na shughuli...
Sisi wafuasi wa vuguvugu la kupinga ufirauni tumesikitishwa na kutokomea kwa Museven baada ya muswada dhidi ya ushoga kuletwa kwake.
Bunge lilishamaliza kazi yake, hivyo tulitarajia apitishe hiyo...
Sheria kali dhidi ya mashoga inatungwa Uganda, hata wamiliki wa nyumba watakaokodisha kwa mashoga watakamatwa
6 Machi, 2023
Kennes Bwire
Rais wa Uganda Yoweri Museveni akisaini mswada dhidi ya...
1. PREAMBLE
Dear Yoweri Kaguta Museveni,
The President of the United Republic of Uganda:
On 28 February 2023, one Reverend Fr. Charles Onen, a former Catholic Priest, and who is a member of...
Bunge la Uganda hivi karibuni lilipitisha mswada kuhusu mapenzi ya jinsia moja, ambapo kufuatia muswada huo, watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo watakabiliwa na kifungo au...
Kweli Duniani Kuna Mambo!
Wikiendi Muswano mwanaJF.
Kila siku unatafuta njia, fulsa ili ujikwamue kutokana na msongo wa mawazo kimaisha, hapo ulipo kuna fulsa ila hujaiona au hujui namna ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.