Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

According to the preliminary results announced by the Electoral Commission’s chairperson, Justice Simon Byabakama, after the polls closed, Mr Museveni had garnered at 14,232 votes so far cast...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Uganda, Simon Byabakama, amesema amepokea vitisho vingi vinavyomtaka asimtangaze mgombea fulani kuwa rais wa uchaguzi utakaofanyika Alhamisi (15 Januari 2026)...
1 Reactions
6 Replies
370 Views
Jana Kuna video nimeona Gen Z wa Uganda yaani wana vibe la hasira wakimshangilia Bob Wine Aisee hiki ni kipindi kibaya sana Kwa majizi na madiktekta duniani Yaani vijana wanawakataa hadharani...
3 Reactions
21 Replies
620 Views
Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura...
0 Reactions
5 Replies
281 Views
Naomba yaliyotokea Tanzania yasitokee Uganda vinginevyo ilazimike kuwa hivyo. Heri Bobi ashinde ndipo waganda wote washinde kuliko kushindishwa m7 ambaye umri umemuacha. Sijui kwanini watawala...
2 Reactions
2 Replies
186 Views
AN OPEN LETTER TO THE PEOPLE OF UGANDA AHEAD OF THEIR GENERAL ELECTION ON 15 JANUARY, 2026 Dear brothers and sisters of Uganda, I recognize that tomorrow, Thursday 15 January, 2026, you will be...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Kufuatia mapendekezo mazito kutoka Kamati ya Usalama ya Taasisi za Serikali (Inter-Agency Security Committee), Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) siku ya Jumanne ilitoa maelekezo kwa waendeshaji...
1 Reactions
2 Replies
232 Views
Serikali ya Uganda imeyafungia mashirika yasiyo ya kiserikali 10, huku ikieleza sababu za kuchukua hatua hiyo. Uamuzi wa kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za baadhi ya mashirika yasiyo ya...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Aisee Huu mchuano sio wa kukosa haya machama mawili yote yanaonekana kuukamia mchezo Ukicheki chama la wanna (NUP) dhidi ya wakongwe (NRM) kila mtu yuko na energy na passion. Hii ngoma...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
The NUP Umbrella Campaign today was held at Ssendi’s Playground – Kabowa (Rubaga South). The event was hosted by Rubaga South NUP flag bearer Eugenia Nassolo. #ProtestVote2026...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
#UgandaIsBleeding #EndTortureInUganda #M7Mustgo #MuseveniMustGo #ProtestVoteUg2026 #KungaUganda #RiseUpUg #WAKEUP_UG #BringBackOurPeople #freeAllPoliticalPrisonersinUganda...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
GENTAMYCINE namtakia mno tu kila la Kheri Mgombea Urais kutoka NRM Ndugu Yoweri Kaguta Museveni Tibuhaburwa.
3 Reactions
5 Replies
258 Views
  • Redirect
Mods naombeni huu uzi usihamishwe, hali hii imekuwepo hata hapa nchini, Mamlaka ya Mawasiliano ya Uganda imewaamuru watoa huduma za intaneti nchini humo kuzima huduma zao hadi itakapotangazwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Siku mbili kabla ya Uchaguzi nchini Uganda, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini humo Simon Byabakama amefichua kwamba amepokea vitisho juu ya kutangaza mshindi katika uchaguzi huo. Byabakama...
1 Reactions
0 Replies
173 Views
Serikali ya Serikali ya Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki za binadamu ya ndani kusitisha shughuli zao siku chache kabla ya uchaguzi wa Alhamisi, ambao Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametangaza kuwa ataitisha maandamano ya nchi nzima ikiwa Rais Yoweri Museveni ataiba kura katika uchaguzi mkuu...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda, kuna zaidi ya wapiga kura milioni 21 waliojisajiliwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Januari 15, 2026. Wapiga kura wataamua ni nani...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 28, Rose Ajiko, amefariki dunia baada ya kukanyagwa katika msongamano wa watu wakati wa kugombea fulana za NRM wilayani Soroti. Tukio hilo lilitokea Jumamosi Januari...
2 Reactions
10 Replies
290 Views
Zikiwa zimebaki siku 5 mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu, App ya mawasiliano ya Bitchat imeshika nafasi ya 1 kwenye orodha ya apps za bure zilizopakuliwa zaidi nchini humo Bitchat ni app inayojikita...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Polisi nchini Uganda wamemkamata raia mmoja pamoja na wafanyakazi wawili wa Tume ya Uchaguzi kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya uchaguzi, ikiwemo fomu 862 zenye taarifa muhimu za wapiga kura na fomu...
1 Reactions
3 Replies
304 Views
Back
Top Bottom