Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Serikali ya Uganda imesema inapanga kuongeza umri wa unywaji pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kukabiliana na unywaji pombe unaopita kiasi. Akiongea katika kongamano la pili la Wakuu wa Kitaifa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The Ministry of Education has withdrawn certificates for private schools asking all proprietors to register afresh ahead of the reopening of schools. While addressing the press at the Uganda...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Inadaiwa kuwa mchungaji wao aliwaambia kwamba wangekutana na Yesu Kristo baada ya kufunga kwa siku 40. Operesheni ya pamoja ya polisi sasa inaongoza msako wa kiongozi wa kikundi hicho, Simon...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema. Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Musa Hasahya Kasera ana watoto wengi sana ambao hawezi kukumbuka majina yao mengi. Mtu huyu kutoka kijiji cha Uganda anapambana kutoa mahitaji ya familia kubwa yake, ambayo anasema inajumuisha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Rais Yoweri Museveni amesema yupo tayari kutoa ruzuku kwenye mbolea lakini sio kutoa ruzuku kwenye mafuta ya petroli ili Watu wakajazane na magari yao kwenye starehe zikiwemo ‘Night Clubs’ wakati...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Mseven AKA M7. Ameamua kuitolea uvivu Marekani na kusema kwamba hawatishiki na vitisho vyao, bali sheria yao ipo palepale. Mwamba anasema kama watapewa vikwazo watafanya biashara na mataifa...
16 Reactions
52 Replies
3K Views
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ. Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa...
11 Reactions
87 Replies
7K Views
President Museveni has linked the apparent appeal of his son, Gen Muhoozi Kainerugaba, to younger Ugandans to their “frustration” with weaknesses within the ruling National Resistance Movement...
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Picha: Rais wa Uganda Yoweri Museveni Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekaidi wito wa Mataifa ya magharibi wanaotaka sheria kali dhidi ya ushoga ifutwe ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika Nchi za Afrika Mashariki, Nchi ya Uganda imedhamiria kwa dhati kulinda maadili na utamaduni wa kiafrika kwa kutunga sheria kali ya kuwanyonga Hadi kufa mtu yeyote atakaye thibitika kuwa...
0 Reactions
3 Replies
705 Views
Kweli nimeamini Uganda hawana utani kabisa, kampeni takatifu ya kuwafyeka mashoga imeanza kwa kasi ya 5G Wenye nyumba wameanza kuwatimua mashoga kwenye nyumba zao kwasababu sheria iko wazi kabisa...
21 Reactions
33 Replies
4K Views
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyataka Mashirika Yanayosimamia sekta ya umeme kushusha bei kutoka Senti 8.5 Hadi Senti 5 za Dola Ili Kuchochea Sekta ya Viwanda.. Nanukiu'Hatuwesi kujadili...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo. -- President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements...
1 Reactions
86 Replies
5K Views
Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Marekani umechukua uamuzi huo dhidi ya Anita Among huku Mbunge Asuman Basalirwa akisema yeye pia anaweza kuwa mwathirika wa kuwekewa vikwazo baada ya Uganda kuhalalisha Sheria dhidi ya LGBTQ...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imevunja ukimya kuhusu wimbi la sasa la mafua na kikohozi miongoni mwa wananchi. Wanachama kadhaa wa umma wameripoti visa vya hivi karibuni vya kikohozi na mafua na wengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom