Hivi Waganda wana tatizo gani?

Waganda ni watu wanaojisikia sana na kujiona wako class tofauti na watu wengine wa east Africa, ndio maana sio jamii forum peke yake bali hata kwenye maisha ya kawaida Waganda hawachangamani sana na wengine kama vile sisi wa TZ tunavyojichanganya na Wakenya.
 
Nadhani ni swala la publicity kwa jf. Waganda wanaipenda na kuikubali Sana Tz. Labda hawaijui JF.

Ukifatilia mijadala yao hasa tension waliyonayo na PK sasa, investment kwenye infrastructure and FDI always waganda wanaji side na Tz.
 
Tatizo lipo kwenye lugha, mnalazimisha Kiswahili kwa kila mtu, nakumbuka humu walikua wanakuja Wanijeria na watu wa Afrika Kusini, mada inajadiliwa kwa Kingereza, Watanzania wanajibu jibu humo kwa Kiswahili hadi jamaa wanahisi kama wamebaguliwa.

Mnafaa mjifunze kuwa na uwezo wa kuzungumza lugha kadhaa, sio unadumaa kwenye lugha moja miaka yote, akija mtu wa Ghana unatema yai, akiibuka Mkenya unabadilisha na kutiririka Kiswahili. Ujanja wa lugha ni kitu cha muhimu. Na pia hata sayansi imebaini kwamba watu wenye uwezo wa kuongea lugha zaidi ya moja huongeza akili na maarifa.

Sisi Wakenya tunachangamkia lugha zetu za asili, pia Kiswahili na Kingereza, hapa nyumbani wanangu wanaachia hadi Kifaransa na kuniacha nimedata, ukizingatia pia nimekua nahakikisha wanaongea lugha yangu ya asili yaani Kikikuyu.

Kwenu huko hadi mkulu ameogopa kutoka ndani ya nchi akidai kubana matumizi, ila inafahamika tatizo lipo kwenye lugha maana kule kwa mabeberu bila kutema yai mambo hayaendi. Leo hii hata Wachina na Warusi wote wanahangaika kujifunza Kingereza.
 
Hapana mkuu. Kule hakuna Uhuru wa kutumia mitandao ya kijamii wanaminywa sana mzee
Waganda ni watu wanaojisikia sana na kujiona wako class tofauti na watu wengine wa east Africa, ndio maana sio jamii forum peke yake hata kwenye maisha ya kawaida Waganda hawachangamani sana na wengine kama vile sisi wa TZ tunavyojichanganya na wakenya...
 
Kwa sababu ya lugha, kwetu sisi ni rahisi kujichanganya maana tunaelewana kilugha.
Waganda ni watu wanaojisikia sana na kujiona wako class tofauti na watu wengine wa east Africa, ndio maana sio jamii forum peke yake hata kwenye maisha ya kawaida Waganda hawachangamani sana na wengine kama vile sisi wa TZ tunavyojichanganya na wakenya...
 
Nadhani ni swala la publicity kwa jf. Waganda wanaipenda na kuikubali Sana Tz. Labda hawaijui JF.

Ukifatilia mijadala yao hasa tension waliyonayo na PK sasa, investment kwenye infrastructure and FDI always waganda wanaji side na Tz.
Asikudanganye mtu Wabanganda hawawapendi Watanzania na Kiswahili kwa ujumla! Wote niliopata kukutana nao wanadai Nyerere aliwadhulumu kwa kuwa rafiki wa Obote na kuwanyima fursa ya kuitawala Uganda kama kabila kubwa. Pia wanaichukia TPDF na mtoto wake UPDF! Kingine suala la Uganda ku-support infrastructure kuja Tanzania ina sura nyingi! Na imetokana na topographic nature na geopolitics of the region!

Ironically If it was for Museveni wishes all SGR to Rwanda n South Sudan would have to pass through Uganda first, meaning an exposure of the future of these 2 countries to another landlocked country while strategically giving Uganda a more influence on regional affairs!

A thing these 2 countries find securitywise unpragmatic since each can have access to the sea direct through one coastal country n hence minimising the risk to bargain with 2 regimes to access the seas! As for Rwanda has already backed down from COW said to be the reason for their recently bad blood with Uganda as Museveni feels his economic big agenda for the region is betrayed! But South Sudan is left hanging due to its instability at home n a strong grip by Museveni on its affairs.

Another issue here is indecisiveness by Kenya as it's was left hanging with no choices on where to put much weight. Her neglect of her Northern frontier made them vulnerable to Uganda chess game as far as south Sudan is concerned! Insecurity up north couldn't help it either.

Kenya wants both south Sudan n Uganda n counted heavily on Uganda's generosity towards LAPSSET not knowing South Sudan is Museveni's token to his economic n geopolitical influence. Any access to that country outside Uganda is a threat to Uganda's interests there having invested on infrastructure! A reason they gunned for a pipeline to Mombasa during route negotiations.

To me the opportunities to Tanzania availed itself on silver platter due to first, the contradicting self interests btn Museveni n Kagame in one side. And secondly the underestimation of Tanzania by Kenya towards Uganda's oil. Kenya believied it can't be bypassed n therefore failed to do effective diplomatic manouvres that could offer a win win scenario to Uganda's regional interests. Not to forget is how JPM capitalised on the situations by strategically vesting all the resources to the great Lake region from his first budget upon ascending to power.

As for now Uganda is playing cat n mouse game, her plan for SGR is shelved not instead took a loan to revamp railway to Gulu. Museveni knows Uganda is that bride wanted by two potential suitors n no matter what circumstances two SGRs will reach lake Victoria though who will be first is unknown!

Unlike JK's era that put much emphasis to the Southern gas resources, JPM is playing a waiting game n the recent floods that destroyed much of Nacala port in Mozambique have come to his aid in disguise! The momentum to first LNG by multinational companies at Cabo Delgado in Mozambique has cooled down.

Even attempts by rival Kenya to draw Tanzania's attention to the south through bypassing central corridor is quashed! All landlocked countries of Malawi, Zimbabwe n Zambia r back in full gear back to Dar port giving more time to Mtwara port expansion n a remaining road link to Malawi to finish. Who knows probably a railway will come after as Malawi seem enticed with her massive coal needs a shorter gateway to overseas.
 
MK254,

Hiyo si sababu ya msingi, Bali ni mtazamo wako.
Waganda ni wenye aibu sana. Kwao siyo rahisi kujichanganya na wengine.
 
Hiyo si sababu ya msingi, Bali ni mtazamo wako.
Waganda ni wenye aibu sana. Kwao siyo rahisi kujichanganya na wengine.

Kila mtu huchangia humu kwa mtazamo wake, hivyo isikupe stress, ila kusema Waganda wana aibu utakua unadanganya, wao hujimix sana na wana ujasiri, sio kama nyie waoga waoga, Mtanzania akiwa nje ya nchi ni mwoga sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom