Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao :D :D :D naona vyuo vingi vya private vina usajili wa...
Serikali ya Uganda imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Covid 19 kama mataifa mengine duniani.
Mwaka jana Rais Yoweri Museveni alisema wanasayansi wa Uganda wanajaribu kufanya utafiti kuanza...
Museveni asema Uganda watatengeneza Chanjo yao wenyewe ya Corona awagomea wazungu kuendelea kuwataka kuimport chanjo zaidi ya walioleta.
Asema walimwambia kazi ya Africa ni ku import sio...
Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza taifa hilo hadi mwaka 2026 katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Kololo nchini humo.
Museveni amekuwa kiongozi wa nchi hiyo...
Mlinzi wa Obote arudi Uganda baada ya kuishi Tanzania kimyakimya kwa zaidi ya miaka 50.
Kijiji cha Agora wilayani Soroti nchini Uganda kililipuka kwa furaha baada ya wake wawili kuungana tena na...
Ili kufikia lengo la Dira ya Maendeleo ya 2040, Uganda, kutahitajika nchi iwe uwezo wa umeme wa 41, 738 MW na kwa matumizi ya watu 3,668 kWh. Hata hivyo, uzalishaji uliopo kwa sasa (hydro...
Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo...
Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
Government has confirmed that Uganda has registered the Indian Covid-19 variant B.1.617.
Col Dr Henry Kyobe, the Covid-19 incident commander, yesterday said the country has now registered five...
Wizara ya afya nchini Uganda imesitisha matumizi ya vitamin C katika kutibu virusi vya Covid-19 kutokana na matumizi mabaya ya wagonjwa.
Vitamni C ndiyo moja ya dawa zilizokuwa zinatumiwa kWa...
Hivi hili bara lina laana gani?
Mimi nilidhani Uganda kupata mafuta ndo neema kwa waganda kumbe yanasafirishwa ghafi hadi Ulaya ambapo huko yanaenda kusafishwa kuproccesiwa halaf wanayapaki...
Umoja wa Madaktari nchini Uganda (UMA) wamepinga suala la kulazimisha watumishi wa Afya na raia kupatiwa chanjo ya COVID19 kilazima. Wametahadharisha kuwa yatakapotokea matokeo yoyote serikali...
Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha...
Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vya usafiri dhidi ya maafisa wakuu wa serikali ya Uganda ambao wanaaminika kuhusika na njama ya kuhujumu mfumo wa demokrasia nchini Uganda, wakati wa...
The African Development Bank (www.AfDB.org) and the Government of Uganda on Tuesday signed a $229.5 million financing agreement for the first phase of the Kampala-Jinja Expressway Project, which...
Our. Ugandan Neighbor's Prepare Yourself for worst. Your Oil Can Turn Out To Be The Biggest Curse Instead Of Blessings. Beware Of The French and their multinational company by the name TOTAL...
11 April 2021
Entebbe, Uganda
H.E Suluhu Samia Hassan, the President of the United Republic of Tanzania made her maiden official visit to Uganda.
Suluhu arrived in Uganda this morning for a...
Kwa mara nyingine tena Rais Yoweri Museveni ameishutumu kampuni kubwa ya teknolojia ya mawasiliano Facebook kwa kuwa na upendeleo dhidi ya chama tawala cha Uganda na wafuasi wake.
Matandao huo wa...
Wabunge wa Uganda wameeleza kupinga zuio dhidi ya uuzaji nje wa mahindi lililowekwa na nchi jirani ya Kenya kwa sababu za “kiusalama”.
Spika wa bunge la Uganda Rebecca Kadaga amemwagiza Waziri...
Rais wa Uganda' Yoweri Museveni amesema bado anaangalia ni chanjo ipi atakayochomwa, siku chache baada serikali yake kuanza kutoa chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa wananchi.
Tayari marais wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.