Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za asubuhi ,hope mmeamka salama kwa wale wanaokumbwa na changamoto za hapa na pale Mungu ni mwingi wa Rehema hakika atawaponya. Moja kwa moja kwenye mada ,ipo hivi kuna ndugu alinunua simu...
1 Reactions
10 Replies
968 Views
Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review...
7 Reactions
58 Replies
18K Views
Features of GbWhatsApp: GB Whatsapp APK 2021 is designed with the tons of features, and all those features you can use on a smartphone. Following are the features of GB Whatsapp Auto Reply...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗲𝘁𝘂 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗽𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗸𝗼 𝗰𝗵𝗼𝗼 𝘂𝗹𝗶𝗰𝗵𝗼𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼 Inawezekana kama ni jambo la kushangaza lakini ndo uwalisia!! Utafiti unaonyesha simu tunazozimiliki ni chafu kuliko hata kile kiti...
2 Reactions
6 Replies
385 Views
Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
4 Reactions
6 Replies
820 Views
Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani...
17 Reactions
72 Replies
10K Views
Kama kuna mtu mwenye ujuzi mzuri wa kutumia accounting package kama Zoho Books naomba aje PM tuongee.
1 Reactions
4 Replies
600 Views
Are you conversant with Zoho Books accounting package? If you are good in Zoho Books accounting platform, lets chat in private message. Thank you!
0 Reactions
2 Replies
390 Views
Mwaka 2013, mwanaume mmoja aliweza kuwashtaki redbull kwa kuweka tangazo la Uongo na kumfanya wamlipe dola milioni $13 kwa kutompa mabawa. Anaitwa Benjamin Careathers aliweza kufungua kesi dhidi...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Habari za muda huu ,hope mko poa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awaponye Ipo hivi kuna ndugu yangu amenunua simu mtaani Samsung A05 Ila baada ya kununua ikapita kama siku 10 mbele...
0 Reactions
3 Replies
623 Views
Dunia na maajabu yake wanasema tembea ujione nchini Uswizi (Switzerland) Kuna kanisa Moja hivi Liko kwenye mji wa luceme, wameunda AI yenye nguvu yenye kuzungumza kama Yesu kwenye jumba la...
3 Reactions
8 Replies
811 Views
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna...
117 Reactions
2K Replies
399K Views
𝗔𝗣𝗣 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗞𝗨𝗧𝗔𝗕𝗜𝗟𝗜𝗔 𝗞𝗜𝗙𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢 Duniani Kuna mambo aisee😳, wazungu bhana okay kwa kuwa kazi yangu ni kuwajuza nimepita mahali nikakutana na hii app 🥱.... Kuna app Moja ambayo imeundwa...
0 Reactions
1 Replies
285 Views
1. Namba ya Serial na IMEI - Hatua za Kufanya: 1. Nenda kwenye Settings > General > About. 2. Tafuta Serial Number na IMEI. 3. Tembelea tovuti rasmi ya Apple...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite. Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia. ========= SpaceX...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
1. Dell-Marekani 2. Compaq-Marekani 3. Apple-Marekani 4. IBM-Marekani 5. HP-Marekani 6. Acer-Taiwan 7. Asus-Taiwan 8. Toshiba-Japan 9. Lenovo-China 10. Packard Bell-Netherlands 11. Samsung-Korea...
5 Reactions
56 Replies
16K Views
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti. Tuambie na namna ya kuzipata. Mfano: Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya. Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nimeipenda hii whatsapp kuna mtu nilimuona anayo nikashindwa kumuuliza kapata vipi kama kuna mtu amewahii install hii whatsapp Gold version naomba atuwekee Link hapaa yuishushe kirahisi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom