Whatsapp Gold Version

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Jamani nimeipenda hii whatsapp kuna mtu nilimuona anayo nikashindwa kumuuliza kapata vipi kama kuna mtu amewahii install hii whatsapp Gold version naomba atuwekee Link hapaa yuishushe kirahisi

Asanteni
 
Toeni jib la uhakika
Kweli naona kama majibu tumetoa kijuu juu, hii application ni kama kirusi tuseme. Inachofanya ni ukiinstall kweli inafanya kazi kama whatsapp na inakupa vitu vya ziada kama kubadili muonekano wa whatsapp na vinginevyo.
Lakini sasa hii application inaiba/kukuchunguza kisirisiri mfano inaiba na kutuma taarifa zako wanapojua wao kama vile meseji zako, umeongea na nani, upo wapi, na kama umeroot simu yako basi pia password zako kwenye application nyingine kama Facebook, jamii forums, instagram au barua pepe yako pia Kama unatumia kadi za benki katika simu yako itaziiba pia.
Kazi ipo sio kwa majibu hayo
 
Kazi ipo sio kwa majibu hayo.
The so-called WhatsApp Gold is a scam often used to trick users into downloading malware or sharing personal information. Officially, WhatsApp does not offer a "gold" or premium version—only the regular app is available. If you encounter such messages, avoid clicking on any links and report them as spam. Always download WhatsApp or updates directly from official app stores to ensure safety. Stay cautious and informed!
 
Back
Top Bottom