Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥 💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥 1️⃣ 25 NVMe SSD Storage 2️⃣ Free Website Migration/Transfer 3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x) 4️⃣ Kama Unaitaji...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
MwanaKidigitali....hivi unajua Game ya biashara ya Laptop ipo tofauti sana kwa Ground tofauti na wengi wanavyo fikiria. Unaweza kujiuliza kivipi ....? Swali Zuri ...! Nakutana na watu wengi sana...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC. Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mambo ya HP. Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa. Je! Haitiniletea shida? Kuhusu...
4 Reactions
84 Replies
8K Views
Yaliyomo Yaliyomo 1 Week 1 4 Introduction to Android development 4 Overview of the Android platform 7 Setting up the development environment 11 (Android Studio) 11 Understanding the project...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘆𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗡𝗱𝗲𝗴𝗲 𝘇𝗮𝗸𝗲 Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane...
5 Reactions
17 Replies
888 Views
Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
1 Reactions
6 Replies
734 Views
Habari waungwana, Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa Sasa lengo...
3 Reactions
4 Replies
579 Views
Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Mwenye kuelewa kuhusu internet anisaidie nataka kununua airtel router sasa bando la chini ni 70000 ambayo ni mbs 10 sasa nataka niwekanofficine kwa ajili ya kudownload movies je itanifaa au...
2 Reactions
6 Replies
469 Views
Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi. Live demo Puter unaweza kutumika kama: A privacy-first...
2 Reactions
3 Replies
500 Views
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
1 Reactions
2 Replies
361 Views
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
0 Reactions
5 Replies
461 Views
Wanajamii naombeni msaada decorder yangu ya azam haipokei signal ya remote je inatengenezeka kwani remote ni nzima nimetest kwenye decorder nyingine
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba mnisiadie hii font ni ipi kwenye Microsoft Word? Nahitaji jina la font kwa wenye experience. Shukrani
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali. Tofauti na hivi sasa mtu ananunua...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati...
3 Reactions
11 Replies
890 Views
Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii...
1 Reactions
0 Replies
377 Views
Back
Top Bottom