Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine.
Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na...
Hapa utapata namna ya kujua...
1.How to Place Facebook Chat On Firefox Sidebar
2.How to Download Facebook Photo Albums
3.How to Share Flickr Photos to Facebook
4.How to Update Facebook without...
Wakuu habari za siku nyingi? Naomba kama kuna mtu anaeuza PC Monitor nzuri kuanzia 23" hadi 27" anijuze. Nipo kwenye project moja ya custom PC Build, parts zote zimefika ila monitor nimeamua...
Amani kwenu wadau..
Wadau nahitaji kufahamu au kujua jinsi ya ku upload video youtube yan kuwa na channel au account yng ambayo ntakuwa naweka videos zangu yan kujisajil pia na vigezo vyake...
Nisaidieni wadau juu ya mada tajwa hapo juu
Nimejaribu kubadili adaptor lakini tatizo bado lipo na haiwaki mpka uchomeke adaptor
Natanguliza shukran kwenu wanajf wote
Habari zenu wakuu! Nimenunua simu aina ya Infinix zero 4 plus. Nimeweka line na kuiwasha cha ajabu nakuta storage status inasomeka 16.56 out of 32 GB, nimedownload apps mbili tu inaniletea alert...
salama wakuu...?
Awali ya yote ningepekenda kujuzwa ni app gani naweza itumia iniwezeshe kusoma vitabu/Document za kiingereza kwa lugha ya kiswahili.
anayejua ni app gani Tafadhali nisaidieni...
Sim yangu aina ya Tecn-w3 imejifunga simcard no 1,nimejaribu kuingia kila eneo kwenye settings lakini nimeshindwa kugundua tatizo ni nini,airplane, mode zimefungwa,lakn line 1 haisomi,naombeni msaada
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya <br />.