Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mada hapo juu inajieleza vzuri,, waheshimiwa naomba process za KUROOT simu yangu,, ntakuwa makin zaid ya zaid,, ahasante Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Mwenye nayo au link atupe tafadhali...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Jamani nimetumia simu aina ya Samsung MegaPlus GT-I9152p, ikiwa haijafikisha hata mwaka mmoja tangu itoke kwenye box, kuna siku (wiki 3 zilizopita) ilijizima ghafla, then ikagoma kuwaka kabisa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Nashindwa kuhamisha app nilizo download kwenda SD card Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naomba msaada wa jinsi ya kurudisha account ya facebook ambayo email yake niliitumia kufungua account nyingine,hvyo nikajikuta nimepoteza uwezo wa kulog in tena.... Nimejaribu kila...
2 Reactions
7 Replies
22K Views
HI NI KWA SIKU 91,BAADA YA HAPO UNARUDIA TENA HIZI CODES.. .>>KWA PC 4CH4C-PPFDT-NFK4B-45R69 >>>kwa android 95XKY-9HS4E-R315U-HVJZB alafu lete mrejesho..
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu nina shida moja yanisumbua nimeweka simu memory card nzima kbs Tatizo linakuja nikihamisha videos, audios, na picha kwenye hiyo memory card hazifanyi kazi tena kama ni picha ndo hazifunguki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa mimi naomba msaada wa ile program ya kuweka kwenye simu moja kisha inatoa taarifa za hiyo simu kama SMS, watsup SMS, calls zikiingia na kupata taarifa hizo kwenye simu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja ya vyuo vikuu bora dunian,Stanford kimeicha rasmi java kutumika kama introductory programming language na hii ni miez michache baada ya kotlin kutangazwa kkama mbadala rasmi wa java katika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Simu yangu aina ya Tecno Boom j8 hot spot, Bluetooth na wi-Fi hazifanyi Kazi. Yaani zimegoma takribani wiki mbili sasa. Yaani ukiwasha kwa mfano hotspot inawaka na kuzima. Naombeni msaada...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba ushauri jinsi ninavyoweza kusajili gari yangu binafsi kwa ajili ya huduma ya taxi za mtandao wa UBA Tafadhali maana hakuna namna nyingine!! Pia kama kuna dereva mzioefu ningependa niingie...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Nataka kuipromote page yang ya instagram mwenye uzoefu anisaidie manake napoenda deep inaniomba niingize no za card ya benki sasa sina imani napo. MSAAADA PLZ Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
961 Views
Ninahitaji Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
0 Replies
702 Views
Nahitaji kuroot tecno c9 nimejaribu kingroot imegoma kwa mwenye ufahamu anielekeze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
783 Views
Wakuu nina mini laptop inatunza sana chaji awali ilikuwa inacharge fresh now ukichomeka inaonesha simu iko connected ila asilimia haisogei badala yake ina discharge, Wakuu msaada
0 Reactions
0 Replies
671 Views
habari zenu wakuu wa humu ndani Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye free software ya kurecover picha ambazo zinaandika INVALID IMAGE maana picha zangu nyingi zimeandika invalid image sasa...
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Habari wadau kwa yeyote anaefahamu music player yeyote ya android au windows ambayo inaweza kuplay nyimbo kabla haijafika mwishon nyimbo nyingine inaingia hapo hapo
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi hili jukwaa! kwa wale waliojitosa kununua ving'amuzi vya digitek na continental tuambie sie tunaotumia dish na king'amuzi cha startimes! Vp kuhusu huduma yao, ipo bora ama bora king'amuzi...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Wakuu kama kichwa cha habar kinavyojieleza laptop yangu inawaka na kufanya operation zingine vizur isipokuwa inaleta chenga chenga kama TV za analogia zaman Kwa kifupi nimejaribu kufanya settings...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…