Kazi unayo hapo, ni sera ya fb kwamba mtumiaji mmoja awe na account moja, huwa tunakiuka tu utaratibu kufungua miakaunti mingimingi na ndo sababu ukijisahau ukatumia namba au email ambayo ushafungulia account nyengine basi wanakunyima access ya account ya kwanza, namjua mtu mpaka leo ni zaidi ya miezi 4 anahangaika kuirejesha account yake ambayo ndo muhimu zaidi bila mafanikio.Ndugu wanajamvi naomba msaada wa jinsi ya kurudisha account ya facebook ambayo email yake niliitumia kufungua account nyingine,hvyo nikajikuta nimepoteza uwezo wa kulog in tena.... Nimejaribu kila namna nimechemka... Nawasilisha
Ila naamini kuna watu wanauwezo wa kuirudisha... Na humu wamo,ngoja nivute subiraKazi unayo hapo, ni sera ya fb kwamba mtumiaji mmoja awe na account moja, huwa tunakiuka tu utaratibu kufungua miakaunti mingimingi na ndo sababu ukijisahau ukatumia namba au email ambayo ushafungulia account nyengine basi wanakunyima access ya account ya kwanza, namjua mtu mpaka leo ni zaidi ya miezi 4 anahangaika kuirejesha account yake ambayo ndo muhimu zaidi bila mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app