Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
habari zenu wakuu wa humu ndani
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye free software ya kurecover picha ambazo zinaandika INVALID IMAGE maana picha zangu nyingi zimeandika invalid image sasa kila nikidownload software nyingi za kurecover zinataka nilipie,mwenye kufahamu free software anisaidie