hujaelewa nin hapo na picha kakuwekeafafanua tafadhari
mkuu hii sio crack'''ukitumia cracks unakuwa kwenye hatariiii zaidi
Kwa hiyo, hizo code umezidevelop wewe hapo ambazo ni tofauti na za mwenye copyright ya hii antivirus au nawe umeipata huko kwenye chimbo. Maana hizo za trial huwa hazijrudii ukiisha tumia.
Sasa wewe hapo, unasema mtu aataitumia baada ya 90days anarudia kwa codes izo hizo !?
generated by meKwa hiyo, hizo code umezidevelop wewe hapo ambazo ni tofauti na za mwenye copyright ya hii antivirus au nawe umeipata huko kwenye chimbo. Maana hizo za trial huwa hazijrudii ukiisha tumia.
Sasa wewe hapo, unasema mtu aataitumia baada ya 90days anarudia kwa codes izo hizo !?
generated by me
That's nicetech is my hobby for small issues i do free