Nataka kusajili gari yangu UBA

Meshe

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
376
471
Naomba ushauri jinsi ninavyoweza kusajili gari yangu binafsi kwa ajili ya huduma ya taxi za mtandao wa UBA

Tafadhali maana hakuna namna nyingine!!
Pia kama kuna dereva mzioefu ningependa niingie naye mkataba!!
 
UBER of San Francisco, California in United States
 
UBER: Habari, asante kwa kujiunga na Uber! Kuanza kupata kipato,hakikisha umepakia nyaraka zote muhimu hapa t.uber.com/doc-upload. Madereva watahitaji kuwa na leseni ya UDEREVA Na Kadi ya gari. Unahitaji msaada? Piga 0759842044 au tembelea ofisi za Uber,Viva Towers, Floor 1 ,Ali Hassan Mwinyi road. J.tatu- Ijumaa, Saa 3 Asb'h hadi 7 Mchana.

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alienda kujiungia ofisini kwao wakampa smartfon ya vfd bure.
 
Back
Top Bottom