Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

bmz

Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
21
Reaction score
46
Habari za asubuhi wapendwa mimi naomba msaada wa ile program ya kuweka kwenye simu moja kisha inatoa taarifa za hiyo simu kama SMS, watsup SMS, calls zikiingia na kupata taarifa hizo kwenye simu ingine.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom