MwanaNkasi
Member
- Sep 20, 2016
- 27
- 4
Moja ya vyuo vikuu bora dunian,Stanford kimeicha rasmi java kutumika kama introductory programming language na hii ni miez michache baada ya kotlin kutangazwa kkama mbadala rasmi wa java katika android app development, sidhan kama hii ndio sababu kubwa ya uamuzi wa Stanford, ugumu wa lugha ni moja ya sababu , wakati huo vyuo vya hapa bongo bado vinafundsha lugha hii kama introductory programming language, hii inawafanya hawa wadogo zetu kuona maisha ya programming (computer science) kuwa magumu saaana ukizingatia background zao ,kuendana na teknolojia vyuo vikuu vingeanza kufundsha lugha kama js au python kama introductory programming language kwa kuzingatia urahis wake na umuhimu wake kwa sasa