PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Habari wadau kwa yeyote anaefahamu music player yeyote ya android au windows ambayo inaweza kuplay nyimbo kabla haijafika mwishon nyimbo nyingine inaingia hapo hapo
Hata ya pc iko ivo?Jet audio pro.ina hiyo tabia.
Asante
Mkuu ya windows pia inafanya ivo?Jetaudio ndio suluhisho...
Hans Pol
Asante sana ngoja nifanye ivo