Msaada:simu haitowi mlio

CHITAKO

Member
Jul 13, 2017
31
10
Poleni na kazi wadau,simu yangu haitowi mlio wakati nikipigiwa,hata video zote pamoja na miziki pia hazitowi sauti.Hii ilitokea majuzi asubuhi nasikiliza kipindi cha BBC,ndo sauti ikakata ghafla.level ya sauti ipo sawa kabisa.Simu ni tecno Y-4.Naombeni msaada namna ya kurudisha simu kwenye hali yake ya kawaida.
 
Badilisha ringer ''Nadhani muziki unaweka'volume maximum ndiyo majibu yake''
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom