Free wifi

kikositija

Senior Member
Jun 19, 2017
123
103
poleni na majukumu ya kuijenga Tanzania mpya,
ndugu zanguni hali ya mambo duniani inaenda kasi sana kiasi usipotumia mianya hupati upenyo....
sasa, kuna hii kitu inaitwa wifi..ni nini? na mara nyingi kwenye simu yangu inanitaka password ili kuwa connected...je wahuvi wa mambo hakuna janjajanja ya kujiunga bila kuingiza password?


you are active to activate new Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom