Msaada Bluetooth na Hotspot havifanyi kazi.

Msaada Bluetooth na Hotspot havifanyi kazi.

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,582
Reaction score
7,250
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nina simu Tecno C9 lakini hivi karibuni imekuwa ikinisumbua hasa kwenye mfumo wa Bluetooth na hotspot nikiwasha baada ya sekunde kadhaa inazima hivyo hivyo na kwenye hotspot nikiwasha Kwa lengo lengo la kuconnect na computer inazima na kwenye laptop inaleta ujumbe wa "access data limited" tatizo litakuwa nini?
msaada please?
 
Back
Top Bottom