JINSI YA KUFUTA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK MOJA KWA MOJA

Apr 14, 2017
11
6
Kuna jia mbali mbalibsana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.
Kufuta akaunti yako ya facebook kunaweza chukua siku 90 kuamilisha kufuta kila kitu
Ndani ya siku 14 akaunti yako itazimwa na baada ya hapo taratibu za kufuta zitaendelea. Iwapo utalogin kwenye akaunt yako baada ya siku 14 kuna machaguo mawili kukatiza mfuto wa akaunt au kuendelea kufuta akaunti
Unataka kuifahamu njia rahisi ya kufuta akaunti yako
1. Fungua browser na uingie kwenye akaunti yako kupitia browser.
NB. Hakikisha umelog out kwenye Facebook app
2. Baada ya hapo kata kupitia home button kisha clear recent app used.
3. Baada ya hapo ingia kwenye browser upya juu mahali pa kuingiza URL ingiza linki hii
Www.facebook.com/help/delete account
Hapo utakuwa katika stage ya mwisho kabisa watakwambia kuingiza password ya facebook na baada ya kuingiza password italog out automatic.
NB. Usiingie kwenye akaunti yako kabisa kwa siku 14 kisha jaribu kuitafuta akaunti yako kupitia simu nyingine hutaipata.
Siku 90 ziipita huwezi kuirejesha upya akaunti yako
Kama unataka kutoka kwa muda zima akaunti yako usiifute
 
Back
Top Bottom