Wadau,
Ni brand gani ya headphone au earphone zina midundo yenye ubora wa hali ya juu kwa kusikilizia muziki au audio ambayo haichoshi masikio hata ukitumia kwa muda mrefu,yenye uwezo wa kuondoa...
Hii video hapa inaonyesha namna AI inavyosambaza dawa hospitalini.
Taaluma ya unesi itakumbwa na dhoruba. Manesi watapungua sana idadi, maana kwa kweli zaidi ya 75% manesi hutumia muda mwingi...
Habari zenu ndugu na mnaendeleaje na hali huko mliko?
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba msaada WA kuweza kuficha app kwenye simu YA android huku inafanya kazi.
Na jee nawezaje kuifichuwa...
𝗔𝗰𝗵𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗧𝗶𝗸𝗧𝗼𝗸 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗮𝗽𝗽 𝗶𝗻𝗮𝗶𝘁𝘄𝗮 𝗫𝗶𝗮𝗼𝗵𝗼𝗻𝗴𝘀𝗵𝘂 𝗶𝗻𝗮𝘄𝗮𝘂𝗺𝗶𝘇𝗮 𝗸𝗶𝗰𝗵𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗺𝗮𝗿𝗲𝗸𝗮𝗻𝗶
Wachina wanazidi kuwahumiza vichwa marekani 🥱
Baada ya TikTok kuwa kwenye mpango wa kuondoshwa, watumiaji wa marekani...
Wakuu mko salama
Iwe application ya simu, desktop application, web systems zote hizi nazitengeza...
Cost za server na bundle ni juu yako application ikikamilika ndo tutagawana faida
Salam wakuu,
Mwaka Jana rasmi niliunganishwa na Tanesco umeme nikaanza kupata huduma. Waliniweka kwenye Ile tariff ambayo ukiweka umeme wa elfu kumi unapata units 28. Sasa ndugu zangu changamoto...
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain.
Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
Hivi ndugu zangu hizi simu za mjapani naona zinakuwa trend sana huku huu mwaka mwishon hapa
Niambien zina ubora huo zinaopigiwa promo
Camera
Waterproof
Battery inatunza moto
Storage yake. Ya...
Wadau wa Jamiiforums Habari za wakati huu.
Na leta kero yangu kwenu kuhusu WhatsApp yangu kusumbua mara kwa mara. Usumbufu unatokana kuwa log out kwa madai ya account yangu kuhusishwa na spam...
Habari za wakati huu wana Jf.
Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika...
𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔
Imekuwaje???👋
Kuna tabia kubwa inazidi...
Habari..
naombeni msaada jinsi ya kubadilisha subtitle kwenye chanel mfano kuna chanel inaitwa Mbc 2 hawa wanaweka muvie nzuri ila tatizo subtitle zao zipo kwa rugha ya kiarabu
Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers.
Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior...
Habarini wakuu.
Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk.
Akili yangu inaniambia hii ni...
Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona...
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.