MSAADA WA JINSI YA KUFICHA APPS KWENYE ANDROIDS.

ndammu

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,064
2,000
Habari zenu ndugu na mnaendeleaje na hali huko mliko?

Niende moja kwa moja kwenye mada naomba msaada WA kuweza kuficha app kwenye simu YA android huku inafanya kazi.

Na jee nawezaje kuifichuwa pale ninapohitaji?


Sent using Jamii Forums mobile app
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
11,357
2,000
Bonyeza hivyo vidoti vitatu juu kushoto utapata OPTION ya HIDE APPS na SHOW HIDEN APPS
Screenshot_2019-04-15-17-38-45.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom