Msaada wa kuweza recover Cpanel Password!

kindboy

Senior Member
Dec 11, 2010
142
28
Hello Habarini za asubuhi watalaam, Ninawebsite yangu ambapo huwa nina access kwenye Cpanel ,sasa kwa muda kidogo nimekuwa natumia ku login via Client Area kwenye website ya host wangu, sasa leo nimejaribu ku login kwa njia ya kawaida through my site nimeshindwa na nikwamba nimesahau password.
Nikajaribu ku regenarete mpya ina niambia mpaka niweke old pswrd sasa na Old sina, hapo ndo uwezo wangu ukafikia mwisho naomba niwakilishe kwenu , labda kuna njia nyingine.
Kumbuka i can access Cpanel through : www.myhost/Clients area na pia nasoma my emails bila shida.
Problem ni hapa ndo : www.mydomain/cpanel
 
Back
Top Bottom