Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nataka nianze na serious za Kisouth Africa
2 Reactions
11 Replies
724 Views
๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ฐ๐—ป๐—ผ ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ป ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐˜€ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ Moja kati ya simu nzuri kutumia mid range smartphone ni Tecno camon 30s Pro hii simu kama wewe ni mfanyabiashara au content creator unaweza...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu dogo anapenda sana mambo ya cyber security na anataka chuo cha UNIQUE ACADEMY mim nilitaka aende UDOM yey kasema hyo UNIQUE ndo inamfaa wajuzi wa mambo ya Tec ushauri wenu hapa. Vipi...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari ๐Ÿ‘‹ Moja kwa moja kweny mada. Aisee, Leo nimeyakoroga, leo majira ya mchana kabla ya kuweka status kuna mtu nilim-hide kweny option settings za "status privacy", then nikapost, alaf...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
๐— ๐—”๐—ป๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐˜€๐—ต๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ Kuna story nakutana nazo mitandaoni kuna baadhi ya watu ambao wanajiita Manabii wakisema wameoteshwa Kuwa intaneti kuna siku...
2 Reactions
6 Replies
506 Views
Salaam wana tech. Kama heading inavyosomeka hapo juu, huu uzi utajikita kwenye 3D printing, designing & etc. Lengo la kuanzisha huu uzi ni kutokana na umuhimu wa ukuaji wa teknolojia ya 3D...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna habari ambazo nilizipata kutoka kwa mmoja wa "reliable sources" wangu kwamba simu zote zinazoingia Tanzania hasa zile za kutoka Ulaya Magharibi huwa zinasikilizwa na kuchujwa na kisha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer. Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali...
1 Reactions
12 Replies
649 Views
Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Elimu ya anga naona teknolojia za AI na mahesabu kuchanganuliwa kwa haraka kumekuwa na ugunduzi mkubwa sana kuhusu upatikanaji wa sayari mpya na nyota mpya ambazo ni kama ndoto kwa habari...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Badilisha Biashara Yako kwa Suluhisho za Kisasa za Kidigitali! |๐Ÿš€Transform Your Business with Cutting-Edge Digital Solutions! ๐Ÿš€ Biashara yako inapoteza pesa kila siku bila teknolojia sahihi! Kama...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Wakuu husikeni na kichwa hapo juu. Naomba muongozo wenu.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii AI ikiulizwa masuala ya siasa za China zenye utata inapatwa kigugumuzi cha ghafla.
15 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina simu aina ya oppo ilizima sababu siku chaji sasa wakati wa kuchaji inaniandikia hayo maneno hapo juu halafu inazima. Wataalamu nisaidieni hiyo ni ya kubadili battery au ni...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router Nina Smart TV yenye kuingia...
8 Reactions
101 Replies
11K Views
Habari ,Poleni na Majukumu ya kila siku! Nina changamoto moja ya whatsup yangu hii mara ya pili imekua ikiwa locked hivi. Naombeni msaada maana nafahamu humu Kuna wataalamu wengi sana wanaoelewa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ