GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,123
- 2,271
Habari za jumapili ndugu zangu. Nimekuwa nikivutiwa sana na sanaa ya upigaji wa kinanda mpaka nimeamua kununua na kukiweka nyumbani lakini sijui chochote katika upigaji wa kinanda, nafikilia kujifunza kwa kutumia tutorial. Kwa wale wataalamu wa music, je inawezekana nikawa mpigaji mzuri kupitia elimu ya tutorial? Na kama inawezekana, naombeni mnisaidie link zenye tutorial nzuri for bigginer. Natanguliza shukrani kwenu.