Msaada wa PUK ya Simcard.

Msaada wa PUK ya Simcard.

Jestkilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
2,999
Reaction score
3,961
Wakuu naombeni msaada namna ya Kupata PUK za line yangu ya tigo,imejiblock na kile kijikaratasi chenye PUK sina customer service wananisumbua tu.
 
duuh hiyo mbona balaa kile kijikaratasi ndio mzizi wa fitna nawe huna, sijui kama ipo namna.
 
Itakulazimu tu uwafuate kwenye vituo vyao vya huduma
 
Angalia nyuma au mbele ya simcard yako, kuna zile namba 19, zikopi halafu piga namba 100 ya huduma kwa wateja, utafuata maelekezo, watakwambia uingize hizo namba 19 ili kupata PUK yako.
 
Mbwa wale nimetuma hzo tarakimy kwenye kutaja PUK wanasema PUK yako ni________ af wansema ukitaka turudie bonyeza zero nafanya tena inasema puk yako ni ________ inarud tena hvo hvo shenzi hawa.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] vip uko smart kwenye server za apple inc ila tigo unakuwa kilaza kilaza!!!!!
 
Kwi kwi kwi kwenda uko nshaenda ofisn kwao wamerekebisha taka hawa.
 
Mbwa wale nimetuma hzo tarakimy kwenye kutaja PUK wanasema PUK yako ni________ af wansema ukitaka turudie bonyeza zero nafanya tena inasema puk yako ni ________ inarud tena hvo hvo shenzi hawa.
Walivyokuwa wanasema PUK yako ni ........., ungeziandika pembeni, au record call.
Hicho kipengele ndiyo unapata PUK yako vizuri bila ya kusumbuka kwenda ofisi yoyote ya tiGO, labda we' mwenyewe ulikuwa unakosea kufuata maelekezo. Fuata maelekezo vizuri mama, utaipata tu, ng'ang'ania hapohapo kwenye huduma kwa wateja.
 
Nimesoma maelezo ya mleta post inaonyesha ni mtu wa kupanic na matusi sasa namna hiyo ndio maana unashindwa kutatua hilo tatizo lako cha kufanya wapigie na fuata wanayokuelekeza tatizo lako litatatuliwa.

-Ndumilakuwili-
 
Nina akil kuliko ukoo wenu wote so hyo kitu ni simple nlkua naona uvivu kuwasha gar kwenda ofisi zao ishu ishakua solved maisha yamerudi as usual
 
Tatizo una mihemuko na ujuaji,... Calm down,...

Nishamaliza ishu ni ndogo nyie ndo mnahemuka kucomment kila kitu as mkijifanya mwajua sometimes tuna but time tu kua hapa ....!!!
 
Back
Top Bottom