MSAADA KUHUSU SPARK K7

MSAADA KUHUSU SPARK K7

prince dudu

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
109
Reaction score
77
Habari za muda huu wakubwa mimi namiliki tecno spark k7. Sasa juzi tu nashangaa simu imebadili mfumo ile line ya notification haiji mpaka ujumbe wa WhatsApp uingie ambapo ni tofauti na awali je niende sehemu gani katika mpangilio wa simu nidhibiti hilo maana nishapigika na kujaribu kuirudisha lakini sikufanikiwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mna ubongo gani jamani hivi tecno ni simu kweli
 
Pambana na hali yako ,ki ukweli tecno nyingi ni magumashi isipokuwa labda tecno phantom 6 plus na cx manchester city lakini nyingine zilizobaki ni vimeo,na ukae ukijua tecno Ulaya hazina soko
 
Sim inayoutwa Tecno hata ukienda GSM Arena huwezi ikuta hawaitambui kabisa.
 
Tecno unanunua ili iweje? Kwanza ata umiliki tecno ya 10M ikishaonekana kwamba ni Tecno Mtu anakudharau....Njooni mtumie iphone,,,samsung,,Nokia,,Blackberry ila sio Tecno
 
mtoa mada sijalielewa kabisa swali lako, au unamaanisha notifications za whatsapp haziingii hadi uingie whatsapp?
 
Habari za muda huu wakubwa mimi namiliki tecno spark k7. Sasa juzi tu nashangaa simu imebadili mfumo ile line ya notification haiji mpaka ujumbe wa WhatsApp uingie ambapo ni tofauti na awali je niende sehemu gani katika mpangilio wa simu nidhibiti hilo maana nishapigika na kujaribu kuirudisha lakini sikufanikiwa.
Ni ngumu kukusaidia kwa maelezo yako haya, sabu hayaeleweki kabisa! Em rekebisha ili watu iwe rahisi kuelewa ndio wakusaidie tatizo lako....
 
Back
Top Bottom