Wataalam wa GIS( Geographic information System)

Wataalam wa GIS( Geographic information System)

msuya4real

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
76
Reaction score
27
Naomba Kufahamu Components of GIS software, Kwa undani. Mwenye maujuzi katk hili please
 
Components si zipo pale kwenye software kama hydrology na mengineyo..
Au we unamaanisha nn?
 
Mkuu hii ni moja ya software zinazotumika katika ukusanyaji data za kijiolojia katika eneo fulani.

Ukisoma mambo ya GEOLOGY utafahamu mengi kuhusu hizo software na nyinginezo nyingi.
Ipo qgis pia ambayo ni open source software
 
Back
Top Bottom