storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,544
- 1,874
Wanabodi habari.
Nina uelewa kiasi katika masuala ya kompyuta na mara nyingi huwa nafanya service ndogo ndogo kwa kompyuta yangu tu.
Ninataka kufahamu zaidi katika swala la hibernation.
Kiufupi ni kwamba, huwa na hibernate compyuta kwa kuwa kwetu kuna tatizo la umeme(unaflactuate) sometimes unakua mdogo kiasi kwamba compyuta haiwaki, feni inazunguka kwa nguvu ndogo sana, fridge ndo balaa....
Natumia ups ya 650w so huwa inaweza kumudu kwa dakika chache sana, sasa kwa kuwa kazi yangu endapo nitazima computer, bas nitalazimika kuanza upya(kitu ambacho sitaki kusikia).
Leo ni siku ya tatu sasa nafanya mchezo huo, sasa nimepata 4gb ram nataka ni-upgrade ziwe 16gb, swali linakuja....
Je, naweza kubadili ram at the same time nimehibernate na nikiwasha nikakuta application zangu zinaendelea?
Tafadhali nahitaji msaada wa kimawazo ili niweze endelea na zoezi coz naamini nikiongeza ram itasaidia kuongeza kasi ya kazi yangu.
Nawasilisha.