Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa.
Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming...
RDP ni nini? | RDP Server | Remote Desktop Protocol | Maelezo Rahisi
RDP Servers?
Kabla ya kuzungumzia RDP Servers, ni muhimu kwanza kuelewa RDP ni nini na inatumika vipi. Baada ya hapo...
Habari wataalam ,naomba mwenye uelewa wa wapi naweza pata card ya spika za sunda 80,000W
Maana nimetafuta nimekosa nimeishia kupigwa tuu
Pia kama kuna ushauri juu ya namna ya kui-repair nisaidie
Airtek Fibre
Halotel Fibre
Yas Fibre
Liquid
Simba net
Zuku
Go Fibre
n.k.
TTCL wapo lakini utendaji upo chini sana, watumishi wameridhika, hadi waje kukufungia internet ni shughuli pevu sio ya...
UFAHAMU KUHUSIANA NA SOFTWARE NA HARDWARE (KOMPYUTA SYSTEMS).
Unapo zungumzia kompyuta kuachana na tafsiri yake halisi ina mifumo miwili mifumo ambayo ni software na hardware mifumo ambayo...
AINA ZA KOMPYUTA
Aina za kompyuta zinaweza kuelezewa kwa namna mbili kulingana na ukubwa pamoja na uwezo wa kuchakata taarifa kama ifuatavyo
Aina Za Kompyuta Kulingana Na Uchakataji Wa Data...
UMUHIMU WA KOMPYUTA SKILLS
Katika kipindi hiki cha kidigitali, Ujuzi wa Kompyuta umekuwa ni muhimu sana ili kufanikiwa katika majukumu yaliyopo katika maeneo mbalimbali maishani. Maeneo hayo...
JINSI YA KUPATA ELIMU YA MAMBO MBALIMBALI KUPITIA DIGITALI YA TEHAMA
Jiku Tech Tips itakufundisha njia za kutokana na wewe. Njia za kutokana na wewe hapa maana yake kama unavyofahamu kila mtu...
Kwa kua nimenunua kifurushi cha laki na kumi pasi na kupenda basi ningependa nione channel ambazo sijawai ona
Nipeni code za chanel hizi
-chanel za Burundi
-chanel zq Central Africa
-chanel za...
Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh.
Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia...
Hello world...
Kwenye dunia ya technology hasa hasa computer programming chaguo sahihi la technologies za kutumia ili kutatua tatizo au kutengeneza kitu fln ni muhimu sana.
Kufanya chaguo hilo...
Hebu nitoe maelezo yenye undani kuhusu akili bandia (Artificial Intelligence - AI), aina zake, na jinsi inavyofanya kazi:
1. Ufafanuzi wa Akili Bandia (AI)
Akili bandia ni uwezo wa vifaa vya...
Kwema watu wa JF
Nimeona mtaani watu wakiwa na maswali mengi juu ya kwanini Pi Coin haipo na haijalistiwa kwenye exchange ya Binance au masoko makubwa ya cryptocurrency kama Coinbase, Kraken, na...
Mpaka naamua kujifariji au ni brand mpya haijafahamimika bado sokoni maana bei nilio uziwa nikilinganisha na maduka mengine inaweza kuwa ni nusu bei kingine kinachonipa wasiwasi nafasi kawaida ssd...