Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu nianze na salam..Nina banda la mpira na nimekua nikitumia Tv za HISENSE LED 55'. kutokana na hali ya usalama inanilazimu kila siku nizihifadhi tv sehemu salama baada ya game. sasa nimepata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu msaada wa kutatua ttzo la led screen inayoonesha mostari ya white picha kufifia na rangi kubadilika.. Mara inakuwa kama dhambarau mara normal... Picha kuonesha imefifia na hata kuganda au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g... Wakuu wapi...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Mwenye link naomba aitume hapa niweze kudownload hiyo setup..kwenye window 7
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Google adsense ambayo ni Non Hosted. Njoo Inbox Karibu.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nahitaji adsense account iliyotia hela kama unayo nicheki inbox au piga namba 0755288579
0 Reactions
7 Replies
901 Views
Jana wakati natafuta tafuta games kwenye PC nikakutana na uzi wa the great wizard, kushusha games kupitia oceanic games. Nikaingia nikashusha games kadhaa ikiwemo Assasin creed. Ila sasa baada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hua napiga picha ndio ajira yangu Mpya naomba mwenyewe ujuzi anaitajie application nzuri niwe na edit picha za wateja Asante nawasilisha Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau mwenye source yeyote ya kuweza kupata m3u8 for live streaming games anisaidie please. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
832 Views
wakuu habarini, simu gani nzuri ambayo naweza kuipata kwa bajeti kati ya 300k-400k...asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu mi napiga telecomm engineering nimekuwa najiulizaga kuhusu MSAN zinazofungwa pembezoni mwa barabara zina kazi gani kwenye mawasillano mwenye ufahamu wa hiki kitu tusaidiane Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada kwenye tuta nina simu 5 zimekufa software za huawei na Tecno n8 nimedownload new firm imejaribu kuinstall na usb via SP tools bado zinagoma naombeni ujanja mwingine wanajukwaa
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Kwa anayejua frequency za kiss fm radio za sasa,maana nimewatafuta kwa 98.9 hawapo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua kama powerpoint ina uwezo wa kutengeneza tangazo linalotembea kutoka kulia kwenda kushoto kwa kutumia powerpoint, kama inawezekana naomba msaada wa maelekezo, natanguliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale watumiaji wa Nokia Android phones, hii hapa plan ya kupata updates za Android Pie (9). Kama upo kwenye list ya below 29th Jan... Kindly check you updates and update...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wakuu.. Naomba msaada kwa anayejua namna ya Ku unlock Vodafone 301 ili iweze kutumia line zote. Hii simu ni ya line mbili lakini cha ajabu sehemu zote za line zinataka line ya voda tu...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Tatzo: Nina POS system nataka ku fanya iwe na uwezo wa kuprint receipt za TRA .. how can i achieve this? Program ime andikwa kwa java.. Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman naombeni msaada kwa wale watalam wa computers ! Nifanyeje Laptop yangu battery yake iweze kukaa miaka mingi bila kupungua uwezo wa kutunza moto ?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi. Baada ya kusema...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…