Kuondoa Background Kwenye Picha Bila Programu Yoyote

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi.

Baada ya kusema hayo, leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ya kuweza kuondoa background kwenye picha yako yoyote bila kutumia programu. Njia hii ni nzuri kwa sababu inafanya kazi vizuri sana tofauti na njia nyingine ambazo unazijua ambazo hutumii programu kama adobe. Tofauti ya njia hii ni kuwa utaweza kuondoa background kwenye picha zenye mtu ndani yake na sio vinginevyo. Njia hii ni rahisi sana na natumaini itasaidia watu humu kwa namna moja ama nyingine.

Kama kuna mahali umekwamba usiache kuuliza hapo chini pia kama unajua njia rahisi zaidi ya hii unaweza kutujulisha hapo chini.
 
Bila kutumia program? si kweli labda angesema bila kutumia graphics program/software kwani hata Browser ni program. sasa hiyo njia ni kwaajili ya vitu vidogo vidogo na haiwezi kuwa effective. Ukiangalia kwenye adobe ingawa ni Advanced na unaweza kuseti i.e tollerance lakini kuna wakati pia unaweza kukosa matokeo halisi uliyotarajia.
 
Kifupi ni kuwa njia hii inasaidia kuondoa background bila kutumia programu za ziada zaidi ya zile ambazo tayari kila mtu anazo kwenye simu au kompyuta yake. Na kuhusu ubora njia hii ni bora sana na rahisi kutumia hasa wenye picha zenye watu. MFANO HAPO CHINI.
wemasepetu_49907471_292019041496182_2667866133204921261_n.jpg
wemasepetu_49907471_292019041496182_2667866133204921261_n-removebg.png
 
Bila kutumia program? si kweli labda angesema bila kutumia graphics program/software kwani hata Browser ni program. sasa hiyo njia ni kwaajili ya vitu vidogo vidogo na haiwezi kuwa effective. Ukiangalia kwenye adobe ingawa ni Advanced na unaweza kuseti i.e tollerance lakini kuna wakati pia unaweza kukosa matokeo halisi uliyotarajia.
Kifupi ni kuwa njia hii inasaidia kuondoa background bila kutumia programu za ziada zaidi ya zile ambazo tayari kila mtu anazo kwenye simu au kompyuta yake. Na kuhusu ubora njia hii ni bora sana na rahisi kutumia hasa wenye picha zenye watu. MFANO HAPO CHINI.View attachment 1011373View attachment 1011374
I’m glad that you like it.
 
Wakuu msaada please app gani ambayo husaidia kuondoa background ya picha
 
Habari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi.

Baada ya kusema hayo, leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ya kuweza kuondoa background kwenye picha yako yoyote bila kutumia programu. Njia hii ni nzuri kwa sababu inafanya kazi vizuri sana tofauti na njia nyingine ambazo unazijua ambazo hutumii programu kama adobe. Tofauti ya njia hii ni kuwa utaweza kuondoa background kwenye picha zenye mtu ndani yake na sio vinginevyo. Njia hii ni rahisi sana na natumaini itasaidia watu humu kwa namna moja ama nyingine.

ANGALIA MFANO HAPA

Kama kuna mahali umekwamba usiache kuuliza hapo chini pia kama unajua njia rahisi zaidi ya hii unaweza kutujulisha hapo chini.
Nahitaji app kuondoa background kwa simu yangu ya Android.
 
Inakula baadhi ya sehemu za picha haswa kichwani....... Bado umuhimu wa Photoshop uko pale pale
Kila programu ina umuhimu wake, ila kupata picha yenye kutokea vizuri background inatakiwa kuwa na rangi tofauti na mtu mwenyewe, kukiwa na muingiliano wa rangi kidogo inakata sehemu husika.
 
Habari wana JF, Najua wote hamjambo na mmeamka salama, kwa wale wagonjwa au wenye matatizo ya kimaisha tunapenda kutoa pole zetu za dhati na kuwaombea mwenyezi Mungu awape wepesi.

Baada ya kusema hayo, leo ningependa kushare na nyie njia rahisi ya kuweza kuondoa background kwenye picha yako yoyote bila kutumia programu. Njia hii ni nzuri kwa sababu inafanya kazi vizuri sana tofauti na njia nyingine ambazo unazijua ambazo hutumii programu kama adobe. Tofauti ya njia hii ni kuwa utaweza kuondoa background kwenye picha zenye mtu ndani yake na sio vinginevyo. Njia hii ni rahisi sana na natumaini itasaidia watu humu kwa namna moja ama nyingine.

ANGALIA MFANO HAPA

Kama kuna mahali umekwamba usiache kuuliza hapo chini pia kama unajua njia rahisi zaidi ya hii unaweza kutujulisha hapo chini.

Safi mkuu ila vipi kama ukitaka kuweka background unayotaka wewe
 
Kila programu ina umuhimu wake, ila kupata picha yenye kutokea vizuri background inatakiwa kuwa na rangi tofauti na mtu mwenyewe, kukiwa na muingiliano wa rangi kidogo inakata sehemu husika.

Hata kabla ya kuijaribu nilishajua hiyo ndio itakuwa weakness kubwa na ndio trick ambayo hata kwenye program ya picha inabidi ufanye manually. Baada ya kujaribu nikagundua pia kama picha sio angavu pia inashidwa kuelewa ipi ni BG ipi ni object
 
Back
Top Bottom