Msaada: namna gani ya kufix ttzo la screen ya tv inayoonesha mistari na rangi kubadilika... Picha kuonesha na kuganda

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
238
71
Wakuu msaada wa kutatua ttzo la led screen inayoonesha mostari ya white picha kufifia na rangi kubadilika.. Mara inakuwa kama dhambarau mara normal... Picha kuonesha imefifia na hata kuganda au picha nyingine inaganda na nyingine ina move.... Msaada wenu plz.... Nmeamka nakuta ili ttzo.... Lkn na wasiwasi msaidizi kasafisha kioo cha scren kwa kitambaa cha maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom