NAFANYAJE HAPA WAKUU

NAFANYAJE HAPA WAKUU

iokote

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
601
Reaction score
876
Jana wakati natafuta tafuta games kwenye PC nikakutana na uzi wa the great wizard, kushusha games kupitia oceanic games.

Nikaingia nikashusha games kadhaa ikiwemo Assasin creed.

Ila sasa baada ya installation inaniandikia hivi kila nikiifungua.

Niifanyeje ili iweze ku play au kama kuna site nyingine rahisi nipate games za Call of duty na Assasin Creed.

Natumia windows 10

Cc Chief-Mkwawa, the great wizard, etal.
IMG_20190206_102924.jpeg
IMG_20190206_102935.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuhakikisha una latest netframe work ama tafuta hiyo compiler yawezekana ina miss.
Kufanya re-installation haitasaidia kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ungesema windows yako ni ipi ingesaidia sana
 
Jana wakati natafuta tafuta games kwenye PC nikakutana na uzi wa the great wizard, kushusha games kupitia oceanic games.

Nikaingia nikashusha games kadhaa ikiwemo Assasin creed.

Ila sasa baada ya installation inaniandikia hivi kila nikiifungua.

Niifanyeje ili iweze ku play au kama kuna site nyingine rahisi nipate games za Call of duty na Assasin Creed.

Natumia windows 10

Cc Chief-Mkwawa, the great wizard, etal.View attachment 1014835View attachment 1014836

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni tatizo la directX ambayo hiyo compiler huwa ni optional lakini hutumika sana na magemu mengi.

Solution ni ku-download directx yenye future zote, link ni hii hapa chini.
Download DirectX End-User Runtimes (June 2010) from Official Microsoft Download Center
 
Mkuu hii directX nimeipata ila katika installation kwenye directory sijui inakaa folder gani maana nimejaribu ku iplace baadhi ya sehemu inagoma.

Kama unavyoona hapo chini.
IMG_20190206_194042.jpeg
1549471437842.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom