Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

FUNDI SIMU KARIAKOO Tunatengeneza battery zandani kwa ndani, hata kama umetafuta battery madukani kote umekosa! Ilete simu yako utapata battery lakutengeza na pia lakukaa nachaj! Whatsapp number...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu salama? Natafuta motherboard ya hp i3 generation 6. kwa mwenye nayo tafadhali tuwasiliane inbox
0 Reactions
2 Replies
1K Views
simu yangu haionyeshi mafail ukiiwasha inaleta maandishi yafuatayo "Hi there" halafu chini yake START
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Polen kwa majukumu mabibi na mabwana. Sina nia ya kupoteza muda kuhhusu uzi huu ila naomba tu wataalamu wa computer wanisaidue kunielekeza aina ya komputer na specification zake, ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari!napenda wasilisha ecommerce nimefungua hivi karibuni ningependa pata ushauri kwasasa nafanya delivery door to door kwa dar es salaam but mkoani na delivery japo sio door to door na payment...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Naomba kujulishwa au msaada wa anayeweza kunitengenezea App yangu!! Gharama?? Na vitu vingine
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau naomba msaada nina simu ya TECNO -J8 inagoma kusoma WhatsApp kws kutumia "Cellular data" ila nikitumia Wi-Fi inakubali, tatizo nn na nifanyeje ili niweze tumia Cellular data. Android...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Ukiclick link hii utaona namba za simu za marafiki zako wote waliopo facebook. Tena na siku hizi facebook inamkumbusha kila mtu aingize namba yake. Login | Facebook
5 Reactions
26 Replies
157K Views
Mliowahi kutumia hizi flst tv, kati ya aboder na star x, ipi ni nzuri zaidi ==========
0 Reactions
31 Replies
11K Views
I have receiving this through my emails ,what does it mean!? For any please i need an help!!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
718 Views
habal wana JR napenda kuulza iv WHATSUP WEB inakaz gan
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naahitaji laptop used nipo Mwanza bajeti yangu 200k contact 0763723035
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Hello members! I have a problem when flashing dead phone (lex526) using QIFL tool.I got error sms "firehorse fail" anyone who could help?,am using Windows 7 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
567 Views
wanandugu kutokana na maendeleo ya teknolojia kwa sasa, nahitaji kununua pc yenye specs kubwa. Hivyo naomba mnipe ushauri ni pc gani kwa sasa zenye uwezo na thamani yake.... Naomba kuwasilisha...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Wadau naomba msaada kwani naamini humu ndani wamejaa watalaamu .Hizi pattern huwa siziamini sana
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Habari wakuu Kwa bahati mbaya mtoto amefuta picha zilizopo kwenye simu aina ya androud version 4.0.4 na ninazihitaji sana,sijui nitumie App gani kuzirecover hizo picha,msaada tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Habari za humu ndani? Ni maranyingine tena nimeona vyema nipate uzoefu wenu, ili nipunguze ujinga. Huwa najiuliza swali hili ila sijawahi kupata majibu; Hivi, Meli inayosafiri masafa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ni app gani ambayo watu hutumia kudanload move mpya ? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nataka nijifunze proggraming ila bado cjui ntaanzia wap but nimeahajifunza html kidogo tu. Nataka in the future ni establish my own website
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Kutokana na Kukua kwa Sayansi na Teknolojia nataka nijue kwa miaka inayokuja kama kuna uwezekano wa kuwa na Uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa nchi kwa kupitia mtandaoni(online). Yani hapa mtu...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Back
Top Bottom